Latest videos

proshabo
2 Views · 1 year ago

WATUMISHI WA MUNGU DAR-ES-SALAAM WAPATA MLO KAMILI.

proshabo
5 Views · 1 year ago

Mungu hagawi utajiri, ila anatoa nguvu za kupata utajiri...

proshabo
2 Views · 1 year ago

Ujumbe "Kumjua Mungu unayemwabudu. Askofu Sylvester Gamanywa anatarajia kufundisha ujumbe huu Jumapili hii ya Tarehe 09-07-2017. Nakukaribisha Jumapili hii BCIC Mbezi Beach, Jogoo, Dar es Salaam.
Ibada inaanza saa 4:00Asubuhi hadi saa 7:30mchana.

proshabo
3 Views · 1 year ago

#Mezayabusara #Shalomtvonline
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylves... Yesu ni zaidi ya maji,mafuta,vitambaa na vitu vyote! ndio maana tunatangaza bali sisi tunamhubiri KRISTO. JUKWAA LA KUMHUBIRI KRISTO HILI HAPA...https://www.youtube.com/watch?v=b01YK...
KUUNGANA NA JUKWAA HILI TEMBELEA SHALOM TV ONLINE KISHA Subscribe.. http://www.youtube.com/c/ShalomTvOnline

proshabo
1 Views · 1 year ago

ASKOFU SYLVESETER GAMANYWA AMETOA SALAM KWA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA KONGAMANO LILILOANDALIWA NA VIONGOZI WA DINI KUMTAKIA KHERI YA KUZALIWA.

KONGAMANO HILO LILIFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA KIMATAIFA WA KISENGA MILLENIUM TOWER, DAR ES SALAAM 29-01-2022

Subscribe Youtube Channel Bishop Sylvester Gamanywa
LIVE: https://www.youtube.com/c/BishopSylve...

Subscribe Wapo TV Online
LIVE: https://www.youtube.com/channel/UC1nD...

#RaisSamia #Rais #samiaSuluhuHassan #Upendo #Amani #mshikamano #tunu #taifa #happybirthday
#wapotv #mshikamano

proshabo
4 Views · 1 year ago

#magufuli #makonda #hapakazituu
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylves... Yesu ni zaidi ya maji,mafuta,vitambaa na vitu vyote! ndio maana tunatangaza bali sisi tunamhubiri KRISTO. JUKWAA LA KUMHUBIRI KRISTO HILI HAPA...https://www.youtube.com/watch?v=b01YK...
KUUNGANA NA JUKWAA HILI TEMBELEA SHALOM TV ONLINE KISHA Subscribe.. http://www.youtube.com/c/ShalomTvOnline

proshabo
2 Views · 1 year ago

Endelea kutufuatilia kwa ukaribu kindii Media pia subscribe,share na comment.

proshabo
4 Views · 1 year ago

Waweza Kutupata Kwa No; 0755847878 Au 0675192212🇨🇭🇨🇭

proshabo
2 Views · 1 year ago

Nawakaribisha tena Jumapili ya leo kwenye ibada
Live Kutoka BCIC Mbezi Beach, Jogoo, Dar es Salaam

proshabo
5 Views · 1 year ago

Siku chache Kabla ya Kupigwa Mh. Lissu , alisakamwa sana na Kuitwa Msaliti na Wahuni wote wa CCM, Akiwepo Mwenyekiti wao Rais Magufuli.

Leo tena Kwa Kutumwa au Kujituma Mwenyewe, Ili alindwe na Maovu yake na Uhalifu Mbalimbali Sylvester Gamanywa anamwita Tundu Lissu Msaliti, Lolote likimsika Lissu au Machafuko, Nasi hiyu ataona cha Mtemakuni

proshabo
7 Views · 1 year ago

Watumishi Wa Mungu Askofu Gwajima,Mtume Mwingira,Askofu Kakobe,Askofu Gamanywa Na Askofu Maboya Wakutana Nyumbani Kwa Mtume Mwingira. Kukutana Kwao Kulikua Kufurahi Kula Chakula Cha Pamoja Nakutiana Moyo Kama Watumishi Wa Mungu.

#ChomozaTV #Hatunajambodogo #Askofu Gwajima

proshabo
2 Views · 1 year ago

Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylves... Yesu ni zaidi ya maji,mafuta,vitambaa na vitu vyote! ndio maana tunatangaza bali sisi tunamhubiri KRISTO. JUKWAA LA KUMHUBIRI KRISTO HILI HAPA...https://www.youtube.com/watch?v=b01YK...
KUUNGANA NA JUKWAA HILI TEMBELEA SHALOM TV ONLINE KISHA Subscribe.. http://www.youtube.com/c/ShalomTvOnline

proshabo
3 Views · 1 year ago

BEI ZA MAFUTA , ASKOFU GAMANYWA AFUNGUKA MAZITO KUHUSU RAIS SAMIA IBADANI.

proshabo
3 Views · 1 year ago

SALAM ZA GAMANYWA KATIKA MKUTANO WA CFaN GONGOLAMBOTO TAR.07/10/2021.
BONYEZA HAPA -https://youtu.be/iVo0jI-rTgA
#kupokeanguvuzaRohomtakatifu #ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic #ShalomtvTanzania
Kwa Taarifa mbalimbali kuhusu huduma zetu,pamoja na Mafundisho ya KINA ZAIDI,
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylvestergamanywa
TEMBELEA SHALOM TV TANZANIA KISHA
Subscribe👇👇👇👇👇👇👇
https://www.youtube.com/c/shalomtvtanzania

proshabo
5 Views · 1 year ago

Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri



#BonaTV #Exclusive

proshabo
6 Views · 1 year ago

Naitwa Askofu Sylveter Gamanywa muangalizi mkuu wa kitaifa wa makanisa ya wapo mission international,furaha yangu ni kukutambulisha kwenywe tovuti yangu mpya ya SADAKA network na ukifungua katika Tovuti hii utakutana na zawadi yangu ambayo ni yam waka huu yenye cheti maalum cha salamu za mwaka mpya utapata cheti hicho bila malipo yoyote.

Karibu kutembelea katika tovuti yangu ya SADAKA network.

proshabo
1 Views · 1 year ago

Karibu katika Huduma zetu Zitolewazo na BCIC Mbezi Beach, kila siku kuanzia jumatatu hadi ijumaa, utapata huduma ya ushauri wa Kibiblia na Maombezi.

Jumapili kuna ibada ya Kiingereza ambayo huanza saa 1:30 Asubuhi hadi saa 3:30 Asubuhi na kufuatiwa na Ibada kuu ya Kiswahili kuanzania Saa 4:00 Asubuhi hadi saa 7:30 Mchana.

Tanzama ibada live/mubasha kilasiku Jumapili kwenye youtube na Facebook. Usikose.

proshabo
2 Views · 1 year ago

KARIBU BCIC MBEZI BEACH KWA AJILI YA;
#Fundisho Sahihi la Kristo
#Uponyaji wa Yesu Kristo
#Nguvu za Roho Mtakatifu
KWA USHAURI WA KIBIBLIA NA MAOMBEZI WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA HIZI: 0710 126 688 | 0758 751 111
#amani
#upendo
#furaha
#wapotvonline

proshabo
2 Views · 1 year ago

#wapotvonline #nuruyajamii
#wapotv #amani #upendo
#nuruyajamii
#Imani
#BCIC
#WapoRadio

proshabo
1 Views · 1 year ago

Askofu GAMANYWA Awafokea WANAOCHEZEA AMANI, Achambua MAANDIKO Kuhusu AMANI na HAKI..

Askofu Sylvester Gamanywa ameshangazwa na wanaobeza suala la amani na kusema kuwa pasipo haki hakuna amani na kuchambua baadhi ya maandiko kuhusu masuala ya amani na haki na kusema sio sahihi kupuuza amani..

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

proshabo
2 Views · 1 year ago

Karibu Jumapili BCIC Mbezi Beach, kwa Muendelezo wa somo la "Tabia Tisa Za uungu."

proshabo
3 Views · 1 year ago

Huyu Mtu Wa Fitina, Mshabiki wa Wauaji na Wasio haki, Ana hoja Gani ya Kumwita Lissu Msaliti. Kuna siri au Nyaraka gani za siri za Serikali Tundu Lissu Amezipeleka Kwa Maadui?

Kuhoji kutekwa Watu kama Azori ni Usaliti? Je Kuteka watu ni Uzalendo?

kuhoju Manunuzi na Kandarasi zisizo na Zabuni Ni Usaliti? Je anayefana hayo ndiye Mzalendo?

Kuhohi Kubambikia watu kesi Wakiwemo Mashehe wa Uamsho ni Usaliti? Je anayewasingizia watu Kesi ndiye Mzalendo?

Pumbavu.

proshabo
2 Views · 1 year ago

LIVE: IBADA YA JUMAPILI BCIC MBEZI BEACH (TAR 23-04-2023)
Ujumbe: "Kuishi kwa Hakika" - Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa.

proshabo
2 Views · 1 year ago

MWAKA 2010 SIKU KUMI KABLA YA UCHAGUZI WATALA WLIMTUMA GAMANYWA KILIMANJARO HOTEL NA KUTAMKA KUWA KUNA DALILI ZA UDINI KUELEKEA UCHAGUZI AKILENGA KUWA WAKRISTO HAMTAKI MGOMBEA WA CCM. HOTUBA HIYO YA GAMANYWA ILIKUWA MAANDALIZI YA HOTUBA YA KIKWETE BUNGENI AMBAYE ALISEMA WAZI KUNA UDINI HUKU AKIWA NA BAADHI YA MAJINA YA MAASKOFU ANAOWATUHUMU. HAPA NDIPO TULIPO ANZA KUGAWANYIKA!!!!.

proshabo
68 Views · 1 year ago

#Uzalendonafalsafayamamlaka
#elimuyauraia
#ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic #ShalomtvTanzania
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylves...
TEMBELEA SHALOM TV TANZANIA KISHA
Subscribe👇👇👇👇👇👇👇
https://www.youtube.com/c/shalomtvtanzania

proshabo
2 Views · 1 year ago

Ibada Live/Mubashara Jumapili ya (26-03-2017)-Ujumbe: Ukristo Pasipo Roho Mtakatifu Ni Kama Ufarisayo Na Ushirikina - Askofu Sylvester Gamanywa

proshabo
1 Views · 1 year ago

Bishop Sylvester Gamanywa (TZ) & Bill Winston (USA) Live Interview at Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro, March 6, 2017

proshabo
3 Views · 1 year ago

Msifurahi kwa sababu mnafanya HUDUMA bali furahini kwasababu mmeokoka.

proshabo
1 Views · 1 year ago

Awaomba Watanzania wote na wenye mapenzi mema kuungana na Chama cha Biblia cha Tanzania, kuchangia pesa kwa ajili ya uchapaji wa Maandiko Matakatifu (BIBLIA) kwa ajili ya watoto, ili wakue katika maadili mema.

JE! UNGEPENDA KUCHANGIA BIBLIA MOJA AU ZAIDI? BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUMPATIA MTOTO, MFUNGWA NA KIJANA NENO LA MUNGU (BIBLIA).

Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la BIBLE A MONTH CLUB kwa kubonyeza link hii:-

BST01-Tsh 2,000 au zaidi kwa Mwezi
https://chat.whatsapp.com/HucZFOaP8zBI0X2y25FYy7

BST02 -Tsh 5,000 au zaidi kwa Mwezi
https://chat.whatsapp.com/CyU3dCdd8uAKfJUpCxjZ2s

BST03-Tsh 10,000 au zaidi kwa Mwezi
https://chat.whatsapp.com/EQ40F0nj2jh8mh12sUglvi

BST04-Tsh 50,000 au zaidi kwa Mwezi
https://chat.whatsapp.com/LVJrKSIWcY68TdeKA6oTCE

Unaweza kulipa moja kwa moja kupitia:
Kwa namba ya kampuni 890890;

Baada ya Kulipa, Tafadhali tupigie kwenye namba hii +255 765 530 892 na unaweza kulipa kupitia namba hii hii ya +255 765 530 892 Jina ni The Bible Society of Tanzania.

Kwa namba ya kampuni 890890 na +255 765 530 892 Jina ni The Bible Society of Tanzania.

proshabo
3 Views · 1 year ago

KARIBU BCIC MBEZI BEACH KWA AJILI YA;
#Fundisho Sahihi la Kristo
#Uponyaji wa Yesu Kristo
#Nguvu za Roho Mtakatifu
KWA USHAURI WA KIBIBLIA NA MAOMBEZI WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA HIZI: 0710 126 688 | 0758 751 111
#amani
#upendo
#furaha
#wapotvonline

proshabo
2 Views · 1 year ago

BARAZA LA MAKANISA YA KIPENTEKOSTE TANZANIA.

KONGAMANO LA WACHUNGAJI/MAASKOFU CPCT NA USIMIKAJI NA UZINDUZI WA UONGOZI AWAMU YA NNE.

"PALIPO NA UMOJA BWANA HUAMURU BARAKA ZAB 133:1-3"
CCC - UPANGA - DAR ES SALAAM, TANZANIA

proshabo
2 Views · 1 year ago

“Kama sisi watanzania hatutaipenda nchi yetu kiasi cha kuifia, tutakuwa sio wazalendo na hatuwezi kufikia lengo la kuwa na Maendeleo katika nchi yetu na hata kama Maendeleo yakiwepo bila uzalendo hayo Maendeleo yatakuwa sio ya wazalendo.” - Askofu Sylvester Gamanywa -
Haya ameyasema kwenye Kongomano la viongozi wa dini wakimtakia kheri ya kuzaliwa na baraka za mwaka mpya
Mhe. Rais Samia Saluhu Hassan.
Kongamano hili limefanyika kwenye Ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Kisenga Millenium Towers, Dar es Salaam. 29-01-2022
Subscribe Youtube Channel Bishop Sylvester Gamanywa
LIVE: https://www.youtube.com/c/Bish....opSylvesterGamanywaB
Subscribe Wapo TV Online
LIVE: https://www.youtube.com/channe....l/UC1nD4IBFbRob4LvxS
.
.
#kongamano #viongoziwadini #kumtakia #kheri #keki #cake #Rais #samiaSuluhuHassan #Upendo #Amani #mshikamano #tunu #taifa #happybirthday

proshabo
0 Views · 1 year ago

Amzungumzia kwa namna alivyomfahamu na alivyoshirikiana naye.

proshabo
2 Views · 1 year ago

Askofu Mkuu wa WMI na Mwangalizi wa kitaifa ajitambulisha kwa wasio mfahamu na kutoa tangazo rasmi alipokuwa akiwasilisha ujumbe kwenye Semina ya VIKUNDI NA USHIRIKA iliyofanyika tar.01.01.2019 BCIC MBEZI BEACH.




Showing 91 out of 92