اگلا

Askofu Kakobe ahojiwa na Uhamiaji

2 مناظر· 04 اگست 2023
proshabo
proshabo
5 سبسکرائبرز
5

ASKOFU KAKOBE AHOJIWA NA UHAMIAJI - Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) Zachary Kakobe ameitikia wito wa idara ya uhamiaji mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano kuhusiana na uraia wake.
Mara baada ya mahojiano hayo Askofu Kakobe amewaambia waandishi wa habari waliokuwepo nje ya ofisi hizo kuwa hana wasiwasi na uraia wake kwani anatambua kuwa yeye ni Mtanzania na kwamba mwaka 1974 alijiunga na kupewa mafunzo ya jeshi, hivyo kinachofanywa na Idara ya Uhamiaji ni utekelezaji wa majukumu yao ya kazi.

مزید دکھائیں

 0 تبصرے sort   ترتیب دیں


اگلا