Askofu Kakobe amfagilia Rais Magufuli,
0
0
26 Kutazamwa·
04 Agosti 2023
katika
Mafundisho ya Biblia
Askofu Zachary Kakobe ameonyesha kufurahishwa na utendaji kazi mzuri wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Akiongea wakati wa kuipokea ndege mpya Ijumaa hii aina ya AIRBUS A220 - 300 katika uwanja wa ndege wa JK Nyerere, Kakobe amesema yeye huwa ni mbishi sana kukubaliana na mambo lakini kwa uytendaji kazi mzuri wa Rais amemkubali ni dereva mzuri.
Onyesha zaidi
0 Maoni
sort Pangilia kwa