ASKOFU KAKOBE AWAAMBIA CHADEMA PAMBANENI NA HALI ZENU WENYEWE SISI TUNAKULA BATA IKULU!
0
0
2 Vues·
04 Août 2023
Dans
Bible Teachings
Maneno ya Askofu Kakobe akionyesha kusikitishwa na Viongozi wa Chadema ambao wamewatukana viongozi wa dini na hivyo kuwavunja moyo Kuendelea kuwasaidia katika mkwamo wa kisiasa walio nao.Pia amewaambia Njia ya namna ya kumuendea Rais wa nchi kutoka katika hali ya mkwamo wa kisiasa walio nayo.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par