EPUKA DHAMBI YA WIVU
0
0
0 مناظر·
01 ستمبر 2023
میں
Bible Teachings
Upo wivu ambao ni dhambi na upo wivu ambao siyo dhambi. Wivu pia una viwango mbalimbali mfano mwalimu humwonea wivu mwalimu mwenzake, mpishi vivyo hivyo n.k. Lakini lazima ieleweke kuwa watu wanatofautina viwango.
مزید دکھائیں
0 تبصرے
sort ترتیب دیں