IBADA YA KUAGA MWILI WA DJ STEVE B
0
0
3 مناظر·
06 اگست 2023
میں
Bible Teachings
Ibada ya Kuaga mwili wa aliyekua mshirika wa BCIC Mbezi Beach Dar es salaam Steven Mdoe akijulikana kwa DJ Steve B,Katika viwanja vya Leaders dar es salaam.
Mwangalizi mkuu wa WMI Bishop Sylvester Gamanywa aliongoza ibada hiyo na kupata muda wa kutoa neno la Mungu kwa waombolezaji. Na baadae kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni Dar.
مزید دکھائیں
0 تبصرے
sort ترتیب دیں