Kakobe ahojiwa na Uhamiaji
0
0
3 意见·
04 八月 2023
Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship la Tanzania Zakary Kakobe amesema kuwa haogopi kuhojiwa juu ya uraia wake sababu yeye si mhalifu na ni raia kamili wa taifa hilo.
显示更多
0 注释
sort 排序方式