KUTAFUTA KAFARA ZA WATU, Cosmas Kanyerere PT.4, Uso kwa uso na malaika wa MUNGU,
0
0
3 Tampilan·
31 Oktober 2023
Ufunuo wa Yohana 17 6
Nikamwona *yule mwanamke amelewa* kwa *damu ya watakatifu,* na *kwa damu ya mashahidi wa Yesu.* Nami nilipomwona nikastaajabu ajabu kuu.
Ufunuo wa Yohana 17 7
Na yule malaika akaniambia, Kwani kustaajabu? Nitakuambia siri ya mwanamke huyu, na ya mnyama huyu amchukuaye, *mwenye vile vichwa saba na zile pembe kumi.*
Ufunuo wa Yohana 17 9
Hapo ndipo penye akili zenye hekima. *Vile vichwa saba* ni *milima saba anayokalia mwanamke huyo.*
Menampilkan lebih banyak
0 Komentar
sort Sortir dengan