NENO ALIKUWA KWA MUNGU By Barabara 13 Ulyankulu
1
0
4 Görünümler·
06 Ağustos 2023
İçinde
Sermons
Neno alikuwa kwa Mungu vyote viliumbwa kwa Neno
Mbingu na nchi vilivyomo vyote ni matendo ya Neno
Kaona watu wamepotea hawamjui muumba wao
Kakubali kuja duniani kutupatanisha na Mungu
Kauvua utukufu wake
Akavaaa mwili wa uchovu
Alipofika dunuani watu hawakumtambua
Kuwa ni Mwokozi wa ulimwengu ametoka kwa Mungu
Hata leo anawasihi nao wengi hawamsikii
Wanatangatanga na ulimwengu, ulimwengu waisha.
Daha fazla göster
0 Yorumlar
sort Göre sırala