Bible Teachings
Askofu GAMANYWA Awafokea WANAOCHEZEA AMANI, Achambua MAANDIKO Kuhusu AMANI na HAKI..
Askofu Sylvester Gamanywa ameshangazwa na wanaobeza suala la amani na kusema kuwa pasipo haki hakuna amani na kuchambua baadhi ya maandiko kuhusu masuala ya amani na haki na kusema sio sahihi kupuuza amani..
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Karibu Jumapili BCIC Mbezi Beach, kwa Muendelezo wa somo la "Tabia Tisa Za uungu."
Huyu Mtu Wa Fitina, Mshabiki wa Wauaji na Wasio haki, Ana hoja Gani ya Kumwita Lissu Msaliti. Kuna siri au Nyaraka gani za siri za Serikali Tundu Lissu Amezipeleka Kwa Maadui?
Kuhoji kutekwa Watu kama Azori ni Usaliti? Je Kuteka watu ni Uzalendo?
kuhoju Manunuzi na Kandarasi zisizo na Zabuni Ni Usaliti? Je anayefana hayo ndiye Mzalendo?
Kuhohi Kubambikia watu kesi Wakiwemo Mashehe wa Uamsho ni Usaliti? Je anayewasingizia watu Kesi ndiye Mzalendo?
Pumbavu.
LIVE: IBADA YA JUMAPILI BCIC MBEZI BEACH (TAR 23-04-2023)
Ujumbe: "Kuishi kwa Hakika" - Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa.
MWAKA 2010 SIKU KUMI KABLA YA UCHAGUZI WATALA WLIMTUMA GAMANYWA KILIMANJARO HOTEL NA KUTAMKA KUWA KUNA DALILI ZA UDINI KUELEKEA UCHAGUZI AKILENGA KUWA WAKRISTO HAMTAKI MGOMBEA WA CCM. HOTUBA HIYO YA GAMANYWA ILIKUWA MAANDALIZI YA HOTUBA YA KIKWETE BUNGENI AMBAYE ALISEMA WAZI KUNA UDINI HUKU AKIWA NA BAADHI YA MAJINA YA MAASKOFU ANAOWATUHUMU. HAPA NDIPO TULIPO ANZA KUGAWANYIKA!!!!.
#Uzalendonafalsafayamamlaka
#elimuyauraia
#ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic #ShalomtvTanzania
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylves...
TEMBELEA SHALOM TV TANZANIA KISHA
Subscribe👇👇👇👇👇👇👇
https://www.youtube.com/c/shalomtvtanzania
Ibada Live/Mubashara Jumapili ya (26-03-2017)-Ujumbe: Ukristo Pasipo Roho Mtakatifu Ni Kama Ufarisayo Na Ushirikina - Askofu Sylvester Gamanywa
Bishop Sylvester Gamanywa (TZ) & Bill Winston (USA) Live Interview at Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro, March 6, 2017
Msifurahi kwa sababu mnafanya HUDUMA bali furahini kwasababu mmeokoka.
Awaomba Watanzania wote na wenye mapenzi mema kuungana na Chama cha Biblia cha Tanzania, kuchangia pesa kwa ajili ya uchapaji wa Maandiko Matakatifu (BIBLIA) kwa ajili ya watoto, ili wakue katika maadili mema.
JE! UNGEPENDA KUCHANGIA BIBLIA MOJA AU ZAIDI? BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUMPATIA MTOTO, MFUNGWA NA KIJANA NENO LA MUNGU (BIBLIA).
Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la BIBLE A MONTH CLUB kwa kubonyeza link hii:-
BST01-Tsh 2,000 au zaidi kwa Mwezi
https://chat.whatsapp.com/HucZFOaP8zBI0X2y25FYy7
BST02 -Tsh 5,000 au zaidi kwa Mwezi
https://chat.whatsapp.com/CyU3dCdd8uAKfJUpCxjZ2s
BST03-Tsh 10,000 au zaidi kwa Mwezi
https://chat.whatsapp.com/EQ40F0nj2jh8mh12sUglvi
BST04-Tsh 50,000 au zaidi kwa Mwezi
https://chat.whatsapp.com/LVJrKSIWcY68TdeKA6oTCE
Unaweza kulipa moja kwa moja kupitia:
Kwa namba ya kampuni 890890;
Baada ya Kulipa, Tafadhali tupigie kwenye namba hii +255 765 530 892 na unaweza kulipa kupitia namba hii hii ya +255 765 530 892 Jina ni The Bible Society of Tanzania.
Kwa namba ya kampuni 890890 na +255 765 530 892 Jina ni The Bible Society of Tanzania.
KARIBU BCIC MBEZI BEACH KWA AJILI YA;
#Fundisho Sahihi la Kristo
#Uponyaji wa Yesu Kristo
#Nguvu za Roho Mtakatifu
KWA USHAURI WA KIBIBLIA NA MAOMBEZI WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA HIZI: 0710 126 688 | 0758 751 111
#amani
#upendo
#furaha
#wapotvonline
Heri ya #krismasi
BARAZA LA MAKANISA YA KIPENTEKOSTE TANZANIA.
KONGAMANO LA WACHUNGAJI/MAASKOFU CPCT NA USIMIKAJI NA UZINDUZI WA UONGOZI AWAMU YA NNE.
"PALIPO NA UMOJA BWANA HUAMURU BARAKA ZAB 133:1-3"
CCC - UPANGA - DAR ES SALAAM, TANZANIA
“Kama sisi watanzania hatutaipenda nchi yetu kiasi cha kuifia, tutakuwa sio wazalendo na hatuwezi kufikia lengo la kuwa na Maendeleo katika nchi yetu na hata kama Maendeleo yakiwepo bila uzalendo hayo Maendeleo yatakuwa sio ya wazalendo.” - Askofu Sylvester Gamanywa -
Haya ameyasema kwenye Kongomano la viongozi wa dini wakimtakia kheri ya kuzaliwa na baraka za mwaka mpya
Mhe. Rais Samia Saluhu Hassan.
Kongamano hili limefanyika kwenye Ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Kisenga Millenium Towers, Dar es Salaam. 29-01-2022
Subscribe Youtube Channel Bishop Sylvester Gamanywa
LIVE: https://www.youtube.com/c/Bish....opSylvesterGamanywaB
Subscribe Wapo TV Online
LIVE: https://www.youtube.com/channe....l/UC1nD4IBFbRob4LvxS
.
.
#kongamano #viongoziwadini #kumtakia #kheri #keki #cake #Rais #samiaSuluhuHassan #Upendo #Amani #mshikamano #tunu #taifa #happybirthday
Amzungumzia kwa namna alivyomfahamu na alivyoshirikiana naye.
Askofu Mkuu wa WMI na Mwangalizi wa kitaifa ajitambulisha kwa wasio mfahamu na kutoa tangazo rasmi alipokuwa akiwasilisha ujumbe kwenye Semina ya VIKUNDI NA USHIRIKA iliyofanyika tar.01.01.2019 BCIC MBEZI BEACH.
Karakana ya Ndoa na Maadhimisho ya Miaka 28 ya Ndoa ya Askofu Sylvester Gamanywa na Alhappiness Gamanywa. Yaliyo fanyika BCIC Mbezi Beach Dar es Salaam
KARIBU BCIC MBEZI BEACH KWA AJILI YA;
#Fundisho Sahihi la Kristo
#Uponyaji wa Yesu Kristo
#Nguvu za Roho Mtakatifu
KWA USHAURI WA KIBIBLIA NA MAOMBEZI WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA HIZI: 0710 126 688 | 0758 751 111
#amani
#upendo
#furaha
#wapotvonline
Asifia SHEKHE Bila kumung'unya MANENO
#ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic #ShalomtvTanzania
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylves...
TEMBELEA SHALOM TV TANZANIA KISHA
Subscribe👇👇👇👇👇👇👇
https://www.youtube.com/c/shalomtvtanzania
KARIBU BCIC MBEZI BEACH KWA AJILI YA;
#Fundisho Sahihi la Kristo
#Uponyaji wa Yesu Kristo
#Nguvu za Roho Mtakatifu
KWA USHAURI WA KIBIBLIA NA MAOMBEZI WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA HIZI: 0710 126 688 | 0758 751 111
#amani
#upendo
#furaha
#wapotvonline
#elimuyauraia
#ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic #ShalomtvTanzania
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylves...
TEMBELEA SHALOM TV TANZANIA KISHA
Subscribe👇👇👇👇👇👇👇
https://www.youtube.com/c/shalomtvtanzania
Ibada ya Ujazo wa Roho Mtakatifu, kilasiku ya Jumapili hapa hapa BCIC Mbezi Beach, Dar es Salaam. Ibada hii huanza saa 4:30 Asubuhi na Bishop Sylvester Gamanywa ndiye atatoa neno na kisha kutoa huduma ya Ujazo wa Roho Mtakatifu ikiambatana na Maombezi ya Kufunguliwa na Vifungo vya Nguvu za giza.
kanisa la BCIC mbezi beach Dar es salaam chin ya ASKOFU GAMANYWA limeadaa mkesha mkubwa sana wa ujazo wa roho mtakatifu utakao fanyika ijumaa ya tarehe 28 JUNE 2019 .Waimbaji wengi watakuwepo na hii si ya kukosa
Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : https://web.facebook.com/gospeltvshow/
Instagram : https://www.instagram.com/chomozanews/
YouTube : http://www.youtube.com/c/Chomo....zaTV?sub_confirmatio
#ChomozaTv#2023
OPERESHENI HAKUNA LISILOWEZEKANA
Nakukaribisha wewe unayetamani sana Mungu ajidhihirishe kwako leo bila kujali dini wala dhehebu ulilonalo wiki hii katika ibaada ya Jumapili wiki hii BCIC Mbezi beach kuanzia Saa 4:00 asubuhi hadi saa 8:00 ya alasiri!
Karibu kwa ajili ya
Fundisho Sahihi la Kristo
Uponyaji wa Yesu Kristo
Nguvu za Roho Mtakatifu
.
Subscribe Youtube Channel Bishop Sylvester Gamanywa
https://www.youtube.com/c/BishopSylve...
Subscribe Wapo TV
https://www.youtube.com/channel/UC1nD...
#HakunaLisilowezekana
#kupokeanguvuzaRohomtakatifu
#ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic
#wapotv
#bishopsylvestergamanywa
MEZA YA BUSARA
NGURUMO YA UPAKO HALISI
#wapotvonline #nuruyajamii
#wapotv #amani #upendo
#nuruyajamii
#Imani
#BCIC
#WapoRadio
KARIBU BCIC MBEZI BEACH KWA AJILI YA;
#Fundisho Sahihi la Kristo
#Uponyaji wa Yesu Kristo
#Nguvu za Roho Mtakatifu
KWA USHAURI WA KIBIBLIA NA MAOMBEZI WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA HIZI: 0710 126 688 | 0758 751 111
#amani
#upendo
#furaha
#wapotvonline
Ibada ya Ndoa kati ya Meshack Otoore na Sha'mael Gamanywa
#BCIC Mbesi Beach Jogoo
Shalom TV Online
Press Conference- Mkutano wa waandishi wa habari wa Wapo Radio, Gazeti la Msemakweli na Kituo cha Televishion cha Shalom TV, Wafanya Mkutano na Askofuku Sylvester Gamanywa mara baada ya Ibada kuu ya Kishwahili ya Ujazo wa Roho Mtakatifu, iliyoambatana na Semina ya Tuda la Roho, pamoja na maombezi ya kufunguliwa.
Jana ikiwa ni wiki ya 8 ya semina hiyo. Fuatilia Mkutano huo hapa. Pia unaweza kutupata pia kwenye Youtube: Shalom TV Online au bonyeza linki hii:
Kuja kwa Roho Mtakatifu
Wakati ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja. Kukaja ghafla toka mbinguni sauti kama mvumo wa upepo mkali ukienda kasi, ukaijaza nyumba yote waliyokuwa wameketi. Kukawatokea ndimi zilizogawanyikana, kama ndimi za moto uliowakalia kila mmoja wao. Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
Ibada Mubashara ya Jumapili ya mwaka 06-01-2019, BCIC Mbezi Beach, Dar es Salaam.
#Uzalendonafalsafayamamlaka
#elimuyauraia
#ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic #ShalomtvTanzania
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylves...
TEMBELEA SHALOM TV TANZANIA KISHA
Subscribe👇👇👇👇👇👇👇
https://www.youtube.com/c/shalomtvtanzania
UJUMBE WA LEO: "IMANI KATIKA VITU VIKUBWA"