Latest videos
MOTO ULAO MINISTRIES
Askofu Zachary Kakobe ameonyesha kufurahishwa na utendaji kazi mzuri wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Akiongea wakati wa kuipokea ndege mpya Ijumaa hii aina ya AIRBUS A220 - 300 katika uwanja wa ndege wa JK Nyerere, Kakobe amesema yeye huwa ni mbishi sana kukubaliana na mambo lakini kwa uytendaji kazi mzuri wa Rais amemkubali ni dereva mzuri.
ASKOFU KAKOBE AHOJIWA NA UHAMIAJI - Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) Zachary Kakobe ameitikia wito wa idara ya uhamiaji mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano kuhusiana na uraia wake.
Mara baada ya mahojiano hayo Askofu Kakobe amewaambia waandishi wa habari waliokuwepo nje ya ofisi hizo kuwa hana wasiwasi na uraia wake kwani anatambua kuwa yeye ni Mtanzania na kwamba mwaka 1974 alijiunga na kupewa mafunzo ya jeshi, hivyo kinachofanywa na Idara ya Uhamiaji ni utekelezaji wa majukumu yao ya kazi.
NENO LA MSINGI
Mithali 7:10
Na tazama, mwanamke akamkuta, Ana mavazi ya kikahaba, mwerevu wa moyo;
Proverbs 7:10
Behold, there a woman met him with the attire of a prostitute, and with crafty intent.
#Askofu #Zachary #Kakobe ni Askofu Mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, endelea kupata chakula cha kiroho kutokea hapa, waambie na rafiki zako wabonyeze mahali pameandikwa #Subscribe
Mwendelezo wa masomo ya MAVAZI YA KIKAHABA sehemu ya 4 na Askofu Zachary Kakobe.
🔴#LIVE: SHEIKH MKUU, ASKOFU KAKOBE, VIONGOZI WA DINI WAKAA MEZA MOJA KUJADILI UPENDO NA AMANI
Viongozi wa dini wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Amani Sheikh Alhad Mussa Salum wanazungumza na waandishi wa habari...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe amesema anakataa mashtaka ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima huku akiwataka waumini wa kanisa hilo kuyakataa.
#KAKOBE #Gwajima #ZacharyKakobe
Amesema kabla ya mtu hajapandishwa juu ni lazima ashushwe chini huku akiwahakikishia waumini kuwa kuna utukufu mkubwa unakuja mbele yao.
Kakobe ametoa kauli hiyo leo Jumapili Mei 12 katika mahubiri yake kwenye kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Gwajima, wakati akizungumzia picha za video zilizosambaa mitandaoni zikimuonyesha mtu aliyefanana na Gwajima akiwa faragha na mwanamke ambaye hajatambulika.
“Moja kati ya sifa ambazo Mungu anazitafuta kwa mtumishi wa Mungu ni ujasiri, Gwajima ni jasiri kama simba na naona fahari kuwa na mtumishi kama huyu, mama una mume jasiri.”
“Ninajivunia kuwa na wewe. Ninaona fahari kuwa juu ya Askofu Gwajima na ninaona fahari kwenu waumini nyote na huu ni wakati wa kumthibitishia shetani kuwa kanisa hili limejengwa juu ya mwamba na ninaomba ibada zote zinazofuata kila mmoja awepo ili mthibitishe kuwa kanisa hili limejengwa juu ya imani,” amesema Kakobe.
Amesema kutokana na suala lililotokea watu walitarajia kuona makanisa mengi yakimtenga Gwajima ila hilo ni tofauti kwa sababu yeye amempenda sana hivi kuliko zamani.
Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars
Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars
Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Intro Video for Bishop Zachary Kakobe International Ministries (BZKIM)
Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia Idara ya Uhamiaji, imemwandikia barua Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe kumtaka afike katika ofisi za Idara hiyo kwa ajili ya mahojiano
Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : https://web.facebook.com/gospeltvshow/
Instagram : https://www.instagram.com/chomozanews/
YouTube : http://www.youtube.com/c/Chomo....zaTV?sub_confirmatio
#ChomozaTv#2022
Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe amekanusha juu ya kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa nchini na kusisitiza pia kanisa lake haliungi mkono chama chochote cha siasa.
Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Felowship, Zachary Kakobe amesema kuna watu wameanza kumwambia kwamba yeye siyo Mtanzania na kwamba anatakiwa kuondoka nchini haraka.
Kakobe amesema kamwe hatishwi na maneno hayo, hawezi kuhama wala kuikimbia nchi kwa sababu yeye ni Mtanzania halisi, yupo na ataendelea kuwepo.
FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..
BAADA YA ASKOFU KAKOBE KUKEMEA MANABII / NABII OLIVIA AMPIGA ZA USO | MASANJA TV
TANGAZA NASI MASANJA TV TUPIGIE SASA KWA NAMBA 0712329490
SUBSCRIBE | Masanja TV | For more Gospel Updates:
👇 👇
https://www.youtube.com/channe....l/UCmKRCC5AXn1Hb0ClJ
ili kulifuatilia somo hili mwanzo mwisho tafuta katika channel hii somo lenye kichwa
FILAMU NA MAIGIZO KTK UKRISTO
Maneno ya Askofu Kakobe akionyesha kusikitishwa na Viongozi wa Chadema ambao wamewatukana viongozi wa dini na hivyo kuwavunja moyo Kuendelea kuwasaidia katika mkwamo wa kisiasa walio nao.Pia amewaambia Njia ya namna ya kumuendea Rais wa nchi kutoka katika hali ya mkwamo wa kisiasa walio nayo.
Askofu Zakaria Kakobe aliposhiriki hafla ya kupokea ndege mpya na kutoa hotuba mbele ya Mheshimiwa Rais Magufuli
For more visit: http://www.bishopzacharykakobe.org
This is part of what happened at the Lusaka Great Miracle Healing Crusade Zambia 2010, conducted by Bishop Zachary Kakobe. Here Bishop Kakobe commands demons to come out of the oppressed people, with extraordinary authority, and they obey. This is one of the factors which made the Crusade to be of so much interest to the Pastors of Zambia.
Askofu kakobe, #askofu #Zachary #kakobe
For more: http://www.bishopzacharykakobe.org
This is Part two(2) of Bishop Zachary Kakobe's ministry in Miracle Crusade Burundi.
Bishop Kakobe's Miracle Crusade at F.F.B Stadium was unprecedented. The Stadium was so packed to the extent that people were refused entry into the stadium. Some of the sick people were brought by ambulances and the National Anthem was sung before Bishop Kakobe preached from the pulpit.
The Chairman of the Bishops Organizing Committees for the Burundi Revival Mission invites the First Lady of Burundi to officially welcome Bishop Kakobe to the country of Burundi.
For more visit: http://www.bishopzacharykakobe.org
Bishop Zachary Kakobe made his first Apostolic Mission to Korea in 2006 by invitation from one of the most popular Crusade Organizers in Korea, the KOREA REVIVAL MISSION. The leaders of the Korea Revival Mission include Pastor David Yonggi Cho, who is the Senior Pastor of YOIDO FULL GOSPEL CHURCH, the biggest church in the world; and Pastor Ra Kyum Ill who is the Senior Pastor of the JU AN PRESBYTERIAN CHURCH, the largest Presbyterian church in the world and also one of the ten biggest churches worldwide. Watch this clip and see what transpired in that mission.
NANI NILIYEMDHURUMU ?
Askofu Kakobe akizungumzia video chafu inayumuhusu Askofu Gwajima
#Askofu #Zachary #Kakobe ni Askofu Mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, endelea kupata chakula cha kiroho kutokea hapa, waambie na rafiki zako wabonyeze mahali pameandikwa #Subscribe
Kazi ya millardayo.com na AyoTV ni kukusogezea habari zote muhimu kila saa kwa saa 24 ambapo Kinachoandikwa na Magazeti ya Tanzania ni moja ya vitu vikubwa ambavyo unasogezewa kila asubuhi
KAKOBE Kuhusu VIDEO ya GWAJIMA, Amtaja MAKONDA Hadharani
Ni ibada maalum inafanyika Jumapili ya leo ya Mei 12, katika kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima, lililopo Ubungo jijini Dar...
Katika ibada ya leo Askofu Gwajima amewaalika wachungaji na maaskofu wengine akiwemo Askofu Zakaria Kakobe, Komando Mashimo na wengine wengi...
#ASKOFUGWAJIMA #KAKOBE
https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Bishop Zachary Kakobe