Latest videos

proshabo
3 Views · 1 year ago

KONGAMANO LA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI, UCHUMI WA VIWANDA

Ni kongamano maalum kuelekea Uchaguzi, Uchumi wa Viwanda, Amani, Mahusiano, Uzalendo na Ustawi wa Taifakatika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar ambapo Naibu Waziri wa TAMISEMI Mwita Waitara amehudhuria katika Kongamano hilo akimwakilisha Makamu wa Rais Samia Suluhu.

YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)

---------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
https://www.youtube.com/playlist?list...

HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
https://www.youtube.com/playlist?list...

GLOBAL RADIO TV:
https://www.youtube.com/playlist?list...

EXCLUSIVE INTERVIEWS:
https://www.youtube.com/playlist?li

proshabo
2 Views · 1 year ago

Askofu Zacharia Kakobe amesisitiza waumini na wananchi kwa ujumla kufuata njia sahihi za kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa wa corona.

proshabo
4 Views · 1 year ago

Askofu Kakobe ajibu mapigo TRA, ashangazwa barua yake na JPM kuwekwa hadharani, asema walichofanya ni sawa ma 'ushilawadu', Muhongo ajikita kivingine, Mbowe kuongoza mazishi ya diwani, Hatima ya Sugu leo..., Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika magazeti ya Tanzania leo Februari 26, 2018.

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#Dar24 #Dar24Media

proshabo
2 Views · 1 year ago

#Askofu #Zachary #Kakobe ni Askofu Mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, endelea kupata chakula cha kiroho kutokea hapa, waambie na rafiki zako wabonyeze mahali pameandikwa #Subscribe

proshabo
5 Views · 1 year ago

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imebaini mambo matano baada ya kumchunguza Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Followship (FGBF), Zachary Kakobe, ikiwemo kukwepa kodi na kuhifadhi mabilioni ya fedha katika majaba na ndoo.

Taarifa iliyotolewa leo Februari 20 na Kamishna Mkuu wa mamlaka hiyo, Charles Kichere pia imesema Kakobe alimuandikia barua Rais John Magufuli kutokana na matamshi yake kwamba ana fedha nyingi kuliko Serikali, kumuomba radhi.

proshabo
3 Views · 1 year ago

Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship la Tanzania Zakary Kakobe amesema kuwa haogopi kuhojiwa juu ya uraia wake sababu yeye si mhalifu na ni raia kamili wa taifa hilo.

proshabo
2 Views · 1 year ago

BENDI ZA SHULE ZA SEKONDARI
Mkwawa Jazz Band katika mtindo wao wa Ligija.Bendi hii ilikuwa moja ya bendi mbili za wanafunzi waliokuwa wakisoma Mkwawa High School kati ya mwaka 1969 na 1971. Kila Jumapili mchana bendi hizi mbili ziliporomosha muziki katika mfumo uliojulikana kama bugi, katika ukumbi wa Community Center pale Iringa. Bugi lilikuwa dansi lililoruhusu wanafunzi na watoto wadogo kufaidi dansi. Dansi lilianza saa nane mchana na kibali cha bugi kiliisha saa kumi na mbili kamili, pombe zilikuwa marufuku wakati wa bugi. Katika miaka hiyo shule za sekondari nyingi zilikuwa na bendi na bendi hizi nyingine zilikuja kuwa maarufu na hata kuja kutoa wanamuziki maarufu sana. Na kwa kuwa kulikuwa na utaratibu mzuri wanafunzi wengi waliokuwa wanamuziki wakati huo walikuja kuendelea na kuwa watu muhimu katika nyanja mbalimbali kitaifa. Kwa mfano katika bendi hiyo ya Mkwawa iliyoimba na hata baadae kurekodi wimbo wangu wa leo, wanamuziki wake wote walikuja kuwa watu wenye nafasi muhimu Kitaifa. Mpiga solo Sewando alikuja kuwa mwalimu wa ‘electronics’ chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na pia ndie alikuja kuwa mwanzilishi wa bendi ya TZ Brothers. Sewando ambaye mwanae sasa ni producer maarufu wa muziki wa ‘kizazi kipya’, alianza muziki akiwa Kwiro Secondary ambako nako kulikuwa na bendi iliyowahi kurekodi nyimbo maarufu wakati huo, na hata kuwa chanzo cha baadhi ya mitindo iliyotumiwa na Morogoro Jazz band. Sewando alianza kupenda electronics wakati huo, na kuwa fundi wa vyombo vya bendi yake ya shule kiasi cha kupata jina la ‘The Mad Scientist’. Masanja alikuwa mpiga rhythm wakati huo na hatimae alikuja kuwa rubani wa ndege. John Mkama aliyepiga bezi alikuja kuwa mwandishi wa habari mahiri. Manji aliyepiga rhythm pia alikuja kuwa mhandisi wa ndege, na miaka mchache iliyopita alianzisha bendi iliyoitwa Chikoike Sound, na kwa sasa ana shule nzuri ya muziki Tabata, Dar es Salaam wakati muimbaji Danford Mpumilwa ni mwandishi maarufu, nae pia ndie alikuwa mwanzilishi wa bendi ya Serengeti ya Arusha. Mpiga tumba katika wimbo huo ni kiongozi maarufu wa dini mwenye wadhifa wa Askofu Mkuu. Hivyo kushiriki katika muziki hakukuwafanya wanamuziki hawa waishie kuwa wahuni au walevi walioharibikiwa kimaisha au kushindwa kuendelea ma masomo. Bendi ya pili ya Mkwawa Secondary ilikuwa ikipiga muziki wa kizungu na hasa wa mtindo wa soul. Bendi hii iliitwa ‘The Midnight Movers’ ikiwa na wanamuziki kama Kafumba, Martin Mhando. Hans Poppe, Deo Ishengoma, amboa waliohai ni watu wenye nyadhifa muhimu katika jamii. Kuwa mwanamuziki hakukuwa tiketi ya kuwa muhuni. Kama nilivyosema shule nyingi za sekondari zilikuwa na bendi, pale Dodoma Secondary kulikuwa na bendi kiongozi wa bendi hii alikuwa Patrick Balisidya aliyekuja kuwa mwanamuziki maarufu alipokuja kuanzisha Afro 70.

proshabo
21 Views · 1 year ago

“Kwa nini tukusifie wakati tunalipa kodi…sifa sifa zote hizi za nini? - Askofu wa Full Gospel Bible Fellowship, Zakaria Kakobe afunguka ya moyoni mbele ya Rais Magufuli.

proshabo
3 Views · 1 year ago

Siku chache zilizo pita Askofu Kakobe aliwajia juu Manabii wenye ibada za kukanyaga mafuta na kusema ni ibada zisizo kuwepo kwenye Maandiko ya Biblia nahuo ni upotoshaji. Manabii wamjibu yeye ni nani awajie juu.
#ChomozaUpdate #Chomoza2019 #Chomozanews

proshabo
2 Views · 1 year ago

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma Kasheku, amefunguka kwamba Askofu Kakobe ni mfanya mazingaombwe na hata akimuombea hawezi kuanguka..

proshabo
6 Views · 1 year ago

Hakika Jina la BWANA WETU YESU KIRISTO libarikiwe milele. Tunakuletea mafundisho ya uzima yatakayokutoa sehemu moja kukupeleka sehemu nyingine kwa habari ya ufalme wa Mungu .

kwa mawasiliano
herickanthony70@gmail.com
+255743443230

proshabo
1 Views · 1 year ago

Mchungaji Pastori Rwakasoto amemjia juu Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe kutokana na kauli yake aliyoitoa kuhusu mafuta na maji yaliyoombewa na kutumiwa na waumini.

proshabo
5 Views · 1 year ago

CORONA: ASKOFU KAKOBE AWAPIMA WAUMINI KABLA YA KUINGIA KANISANI, ONA ILIVYOKUWA...

KUFUATIA ongezeko la wagonjwa wa Corona nchini, Mchungaji wa kanisa la Full Gospel, Zacharia Kakobe, ameweka utaratibu wa kuwapima watu joto la mwili kabla ya kuingia kanisani.

UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE

(+255 784 888982)

(+255 676 229628)

Email: globaltvbest@gmail.com
abbymrisho@gmail.com

HABARI MPYA DAILY:
http://bit.ly/habarimpya


HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua

GLOBAL RADIO TV:
http://bit.ly/255globalradio

EXCLUSIVE INTERVIEW:
http://bit.ly/exclusive_interviews

Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania

Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

proshabo
2 Views · 1 year ago

Askofu Mkuu Zachary Kakobe amefundisha kwa kina kuwa Chanjo ya Corona siyo Chapa 666
@bishopkakobe

proshabo
1 Views · 1 year ago

KAKOBE TENA! "WATU WANATAKA INTERNET MAISHA YAENDELEE", AWATULIZA UPINZANI...

askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Zachary Kakobe amekuwa miongoni mwa viongozi wa Dini waliohudhuria katika Kongamano la Amani la Kumshukuru Mungu kwaajili ya Uchaguzi kumalizika salama lililofanyika jijini Dar es Salaam....

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

proshabo
3 Views · 1 year ago

#Askofu #Zachary #Kakobe ni Askofu Mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, endelea kupata chakula cha kiroho kutokea hapa, waambie na rafiki zako wabonyeze mahali pameandikwa #Subscribe

proshabo
3 Views · 1 year ago

Sehemu ya mwisho ya somo la MAVAZI YA KIKAHABA na Askofu Zachary Kakobe.

proshabo
4 Views · 1 year ago

Askofu Mkuu wa kanisa la Full Gospel Bibble Fellowship, Zachary Kakobe amesema kua video ya ngono inayodaiwa kumuonesha Askofu Mkuu wa makanisa ya fufuo na uzima Josephat Gwajima video hiyo ni feki na imetengenezwa na wanaofanya biashara ya kufarakanisha watu.

proshabo
1 Views · 1 year ago

BAADA ya kiongozi wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Askofu Zacharia Kakobe kudai ana fedha nyingi kuliko Serikali, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imejipanga kuanza kufuatilia ulipaji wake wa kodi. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea).

Kamishna Mkuu wa TRA, Charles Kichere amesema mamlaka yake imeipokea kwa furaha kauli ya Askofu Kakobe na inataka kujiridhisha vyanzo vya utajiri huo.

Kichere amesema TRA inafahamu kuwa shughuli za kidini hazitozwi kodi lakini inataka kufahamu kama fedha hizo za Askofu Kakobe zinatokana na sadaka pekee au kuna shughuli nyingine za kiuchumi.

Endelea kusoma MwanaHALISI Online kupitia: http://mwanahalisionline.com/
Usisahau kama haujasubscribe channel yetu ya YouTube bonyeza sehemu iliyoandikwa Subscribe ili uwe wakwanza kupata taarifa kutoka MwanaHALISI TV.

proshabo
5 Views · 1 year ago

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#Dar24 #Dar24Media

proshabo
2 Views · 1 year ago

Mwendelezo wa masomo ya MAVAZI YA KIKAHABA sehemu ya 7 na Askofu zachary Kakobe.

proshabo
1 Views · 1 year ago

NENO LA MSINGI
Mithali 7:10
Na tazama, mwanamke akamkuta, Ana mavazi ya kikahaba, mwerevu wa moyo;

Proverbs 7:10
Behold, there a woman met him with the attire of a prostitute, and with crafty intent.
#Askofu #Zachary #Kakobe ni Askofu Mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, endelea kupata chakula cha kiroho kutokea hapa, waambie na rafiki zako wabonyeze mahali pameandikwa #Subscribe

proshabo
7 Views · 1 year ago

Askofu Kakobe wa Makanisa ya Full Gospel Bible Fellowship(FGBF) anasema hakuna wa kumuhonga, majani ya chai yanayotumika IKULU ni yale yale yanayolimwa Mufindi hayana dhahabu ndani, hata pesa anazo kuliko Serikali. Waziri akitaka aende atamkopesha!

proshabo
2 Views · 1 year ago

#Askofu #Zachary #Kakobe ni Askofu Mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, endelea kupata chakula cha kiroho kutokea hapa, waambie na rafiki zako wabonyeze mahali pameandikwa #Subscribe

proshabo
2 Views · 1 year ago

Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible fellowship (FGBF) Zakary Kakobe amesema hahofii kuchunguzwa na serikali kuhusiana na ukwasi anaoumiliki na kuongeza kuwa fedha alizonazo ni Zaidi ya fedha zinazomilikiwa na serikali nyingi Duniani.

Akizungumza wakati wa ibada ya Jumapili kanisani hapo Askofu Kakobe amesema kuwa, hana wasiwasi wa kuchunguzwa utajiri wake na kuongeza kuwa kwa sasa anamiliki pesa nyingi Zaidi ya serikali ya China na Marekani.
Insert...Askofu Zakary Kakobe –Askofu Mkuu, Full Gospel Bible Fellowship

Askofu Kakobe pia amewajibu watu wote waliokuwa wakihoji kuhusiana na uraia wake.

Wiki iliyopita askofu Kakobe akihubiri wakati wa mkesha wa sikukuu ya Christmas alidai kuwa yeye ni tajiri zaidi ya serikali ya Tanzania na haogopi kusema ukweli.
FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..

proshabo
1 Views · 1 year ago

UNGANA NA SHALOM TV KUPITIA.... http://www.youtube.com/c/BishopSylvesterGamanywa UNAWEZA KU-SUBSCRIBE ILI UWE WA KWANZA KUPATA MAFUNDISHO MBALIMBALI YA KIROHO NA KIMWILI!




Showing 107 out of 108