Latest videos

proshabo
2 Views · 1 year ago

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema kuwa serikali ina haja ya kutathmini upya uhalali wa baadhi ya madhehebu ya dini ili kuhakikisha eneo hilo linabaki kutekeleza jukumu lake la msingi badala ya kile alichokiita kufanya siasa.

Kauli hiyo inafuatia baada ya Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Zachary Kakobe, kutoa kauli zinazomuhusisha Rais John Magufuli na kumtaka atubu.

Katika mazungumzo yake na vyombo vya habari, Gambo amesema kuwa ni vyema Askofu Zachary Kakobe angejitathmini kabla ya kutoa kauli zinazomuhusu Rais Magufuli.

proshabo
3 Views · 1 year ago

ASKOFU KAKOBE - "POLISI WAMEKUWA SOFT, HAIJAWAHI KUTOKEA, KAMA SIO TANZANIA VILE"

KAMATI ya amani nchini inayoundwa na watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini zote mbili, wamekutana na kuzungumza juu ya kuilinda amani yetu hasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu...

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

proshabo
4 Views · 1 year ago

“…Umewahi kutuambia kwamba unashindwa kulala kwa sababu kitanda kimejaa mafaili…lakini leo tunakusihi…hebu jipongeze ulale....bila shaka utalala leo eee…” – kauli ya Askofu wa Full Gospel Bible Fellowship, Zakaria Kakobe aliyoitoa wakati wa hafla ya kuipokea ndege ya pili ya Airbus A220-300 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).

proshabo
4 Views · 1 year ago

Mkuu wa Mkoa wa DSM Mhe. Paul Makonda, tarehe 26/12/2018 aliwaalika Wachungaji na Maaskofu wa madhehebu ya dini ya Kikristo nchini na hili ndio neno la Askofu Kakobe kwa Paul Makonda.....tazama hapa.

proshabo
11 Views · 1 year ago

Askofu Kakobe ampa somo Rais Magufuli, amweleza siri ya mataifa makubwa kufanikiwa. " Umeanza vyema Rais Magufuli."

Ni katika hafla ya makabidhiano ya Mfumo mpya wa kusimamia uwazi katika mawasiliano ya simu.

proshabo
2 Views · 1 year ago

Maisha ya mtumishi wa Mungu ni ya msingi sana kuyachunguza. Yesu akasema Mwanafunzi hampiti mwalimu wake ila akihitimu hulingana na mwalimu huyo. Luka 6;40 tena kiongozi akishindwa kwa upofu wake na kuingia shimoni mlio nyuma yake bila kujali mnaona au la, maadam mnaongozwa na huyo kipofu wote ni katika shimo la Jehanam ya moto Mathayo 15;14.
Usipuuze kwa chochote anachosemewa kiongozi wako kiroho. Fuatilia ukweli kuhusu hayo kisha chukua hatua. kama yana ukweli na hayafai kuwa kielelezo achana na kiongozi huyo ila kama ni kielelezo cha maisha ya usafi na utakatifu simama pamoja naye katika yote anayonenewa na mwisho utavuna pamoja naye.
fuatilia maisha ya Mtumishi huyu wa Mungu uone kisha chukua hatua. Mungu akubariki.

proshabo
3 Views · 1 year ago

Msimu huu wa Ksrismas karibu katika duka la Pure Gold Mwanza ujipatie bidhaa mbalimbali za vito ikiwemo pete za dhahabu halisi. Duka lipo Rock City Mall ghorofa ya kwanza ama piga simu 0752 48 06 05.

proshabo
2 Views · 1 year ago

Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe amewasili idara ya uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam.
Askofu Kakobe amewasili Aprili 9, 2018 saa 4:53 asubuhi katika idara hiyo kwa mahojiano akiwa ameambatana na watu wanne. Wawili wanawake na wawili wanaume

proshabo
3 Views · 1 year ago

"Haijawahi kutokea kuwa na Rais na Serikali yake ambao wameheshimu viongozi wa dini kama wewe," - Kali ya Askofu Kakobe akieleza namna yeye na viongozi wengine wa dini walivyokuwa wakiteta jinsi Rais Magufuli anavyoheshimu viongozi wa dini.

Ni katika hafla ya makabidhiano ya Mfumo mpya wa kusimamia uwazi katika mawasiliano ya simu.

proshabo
6 Views · 1 year ago

Askofu Kakobe Mbele ya Magufuli "Wewe ni Shujaa"

Miongoni mwa viongozi wa dini waliohudhuria katika mkutano wa wachimbaji , wafanyabiashara na wadau wa sekta ya madini uliofanyika leo Januari 22, katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu J.K Nyerere - Dar, Ni Askofu Zakari Kakobe kutoka kanisa la Full Gospel Bible fellowship.

Askofu Kakobe akapata wasaa wa kutoa neno la Mungu kwa ajili ya kuongoza kikao hicho na akachomekea pongezi zake kwa Rais Magufuli kutokana na juhudi kubwa anazozifanya katika kuboresha sekta ya madini.

#AskofuKakobe

Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter

www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw.

proshabo
4 Views · 1 year ago

Hakika Mungu wetu ni mwema hata sasa , katika Maombi yako mtu Mungu popote pale ulipo usisahau kuombea channel hii ya Kiroho. Msingi mkuu wa hii channel ni UTAKATIFU NA HAKI , Mstari unaongoza hii channel ni WAEBRANIA 12:29, Sambaza ( share ) neno hill kadiri Roho mtakatifu atakavyokuongoza kwa watu mbalimbali hakika utakuwa sehemu ya huduma hii

Email: herickanthony70@gmail.com
phone: + 255743443230

proshabo
0 Views · 1 year ago

Kama una: USHUUDA, MAONO au MAONI, Wasiliana nasi Watsaap; +12088018138.

proshabo
3 Views · 1 year ago

This is Part One (1)of Bishop Zachary Kakobe's ministry in Miracle Crusade Burundi
The Chairman of the Bishops Organizing Committees for the Burundi Revival Mission invites the First Lady of Burundi to officially welcome Bishop Kakobe to the country of Burundi.Bishop Zachary Kakobe arrives at the Airport in Bujumbura, is received by Burundi Minister for Good Governance.He receives a statesman-like welcome whereby police motorcycles lead his way to the Bujumbura City Centre; and traditional dancers who perform for Kings, steal the show at the hotel where he stayed.
Bishop Kakobe conducted a Press Conference. Reporters from all the Burundi media institutions attended. Reporters got a chance to ask many questions which were whole answered. This Conference was also filled with many blessings.

proshabo
3 Views · 1 year ago

SOMO la kwanini tunaishi lilihubiliwa ASKOFU - KAKOBE siku ya mkesha wa mwaka mpya 2020.

proshabo
2 Views · 1 year ago

SAA YA KUAMKA USINGIZINI IMEWADIA

proshabo
5 Views · 1 year ago

@MotoulaoMinistries ,
+255743443230.
sambaza na kushare ujumbe huu.

proshabo
6 Views · 1 year ago

For more: http://www.bishopzacharykakobe.org
This is Bishop Zachary Kakobe's ministry of the Word in Lubumbashi

proshabo
2 Views · 1 year ago

For more: http://www.bishopzacharykakobe.org
This is Bishop Zachary Kakobe's Revival Ministry in Korea

proshabo
2 Views · 1 year ago

Uwenda Umewahi Kulisikia Jina Hili Nguli Nchini Tanzania Linalojulikana Kama #KAKOBE. Leo Nataka Nikufahamishe Undani Wa Mtu Huyo Alitokea Wapi Na Nini Historia Ya Maisha Yake.!

Inasemekana etii Yesu aliwahi kumtokea Live bila kujificha Na Akamwambia Atakuwa Muhubiri Mkubwa Duniani..Unadhani ilikuaje!?! #SIMULIZI TIME ITAKUJIBU!

Lakini kumbuka tu Usiache Ku SUBSCRIBE ili Usipitwe na #SIMULIZI nzuri Zinazokuja Baadae!

INSTAGRAM 👉 I'm on Instagram as @gololamos




Showing 108 out of 109