Latest videos
MITUME NA MANABII WAINGIA DARASANI! BISHOP GAMANYWA NA BISHOP KAKOBE WATOA SOMO NA MTUME FERNANDES !
SASA KANISA LA TANZANIA KUMEKUCHA!
herickanthony70@gmail.com
#Askofu #Zachary #Kakobe ni Askofu Mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, endelea kupata chakula cha kiroho kutokea hapa, waambie na rafiki zako wabonyeze mahali pameandikwa #Subscribe
Jina la Yesu ni zaidi ya maji,mafuta,vitambaa na vitu vyote! ndio maana tunatangaza bbali sisi tunamhubiri KRISTO. JUKWAA LA KUMHUBIRI KRISTO HILI HAPA...https://www.youtube.com/watch?v=b01YKMzpG78
KUUNGANA NA JUKWAA HILI TEMBELEA SHALOM TV ONLINE KISHA Subscribe.... http://www.youtube.com/c/BishopSylvesterGamanywa
Email: herickanthony70@gmail.com
Hi headlines za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mchugaji Gwajima ambapo wawili hawa walikuwa na tofauti zao lakini leo wameonekana wakizungumza katika kanisa la Askofu Kakobe ambapo ni siku ya kuadhimisha miaka 30 tangu kwa kuanzishwa kwa kanisa la Kakobe
MAVAZI YA KIKAHABA PART 1
neno la msingi linatoka katika kitabu cha MITHALI 7:10
Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Zacharia Kakobe amemuomba Rais Magufuli kuingilia kati suala la Manabii feki wanaotapeli watu kwa kisingizio cha Miujiza
Mfululizo wa masomo ya UTAKASO , Endelea kuwa pamoja nasi
Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : https://web.facebook.com/gospeltvshow/
Instagram : https://www.instagram.com/chomozanews/
YouTube : http://www.youtube.com/c/Chomo....zaTV?sub_confirmatio
#ChomozaTv#GospelUpdates#2020
#mwamposa #kakobe #diamondKatika ibada ya tarehe 2 /2/2020Askofu kakobe akemea vikali kwa baadhi ya mitume na manabii kutumia maji na mafuta aongea jana katika ibada
Dr. Josephat Gwajima is the Senior Pastor of the Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in Jesus name.
ubunifu tv
#chomoza #ChomozaTV #Hatunajambodogo
mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania Christina shusho amejikuta katika taharuki kubwa baada ya wezi wa mtandaoni kufanikiwa kuichukua akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram, Askofu Zakaria Kakobe aangiza mabasi ya kanisa
Ahimidiwe Mungu Wa mbinguni awezaye kutupatia uzima na afya njema . Usikose kujifunza somo hili lenye kichwa OPOTOSHAJI WA KWELI YOTE.
ni somo la 416 tangu nipate ufunuo wa kuyarusha haya masomo katika channel hii. Maombi yako ni muhimu kwa ajli ya kazi hii ya kipekee ambayo imewaokoa watu wengi waliokuwa wamefungwa katika vifungo mbalimbali katika ufalme wa Giza . Binafsi sijawahi kukutana au kumuona mtumishi huyu ( ASK Zachary kakobe) lakini kupitia mafundisho yake Nimemuona Mungu. na kupitia huduma hii ya kurusha masomo haya katika channel hii nimemuona Mungu zaidi. Naitwa Herick Anthony namwabudu Mungu katika kanisa la EVANGELICAL ASSEMBLIES OF GOD TANZANIA ( EAGT). kwa ushauri zaidi +255743443230.
Hivi karibuni Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia Idara ya Uhamiaji, ilimwandikia barua Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe kumtaka afike katika ofisi za Idara hiyo kwa ajili ya mahojiano.
Sasa leo April 9 2018 Askofu huyo ameripoti katika ofisi hizo za Uhamiaji DSM kwa ajili ya kuhojiwa na baada ya hapo akapata nafasi ya kuzungumza na waandishi wa habari
Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : https://web.facebook.com/gospeltvshow/
Instagram : https://www.instagram.com/chomozanews/
YouTube : http://www.youtube.com/c/Chomo....zaTV?sub_confirmatio
#ChomozaTv#GospelUpdates#2020