अगला

Kuokoka siyo kubadili dini ni kuharibu dini - Askofu Sylvester Gamanywa

3 विचारों· 06 अगस्त 2023
proshabo
proshabo
5 ग्राहकों
5
में Bible Teachings

Karibu katika Huduma zetu Zitolewazo na BCIC Mbezi Beach, kila siku kuanzia jumatatu hadi ijumaa, utapata huduma ya ushauri wa Kibiblia na Maombezi.

Jumapili kuna ibada ya Kiingereza ambayo huanza saa 1:30 Asubuhi hadi saa 3:30 Asubuhi na kufuatiwa na Ibada kuu ya Kiswahili kuanzania Saa 4:00 Asubuhi hadi saa 7:30 Mchana.

Tanzama ibada live/mubasha kilasiku Jumapili kwenye youtube na Facebook. Usikose.

और दिखाओ

 0 टिप्पणियाँ sort   इसके अनुसार क्रमबद्ध करें


अगला