People & Blogs
#Mchungaji #Mitimingi
Uzuri wa Mwanamke unaweza kusababisha mwanaume akuoe, akupende. Lakini Tabia ya mke itasababisha Mwanaume Huyo adumu na wewe au muachane.
Hakuna upendo bila ya kutoa, Wanawake wengi sana walio kwenye ndoa hawatunzwi na waume zao. Pesa ya Salon ni wao wenyewe wanajitolea, Nguo wanajinunulia wenyewe wengine hata chakula pia cha familia ni wao wenyewe wanatoa. Ukiona umeolewa na kila kitu unajigharamikia mwenyewe - Jua hakuna upendo hapo.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. +255 713 18 39 39 (Counseling Psychologists)
Wamama wengi leo hawatunzwi katika ndoa zao, wengine wametelekezwa na waume zao kupata huduma za ndoa ni mpaka watoe pesa kwa waume zaom
SOMO: NGUZO ZINAZOSHIKILIA UPENDO KATIKA NDOA
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor & Counseling Psychologist #WCC +255 713 18 39 39
Somo: MAONO YANAYOTEMBEA SEHEMU YA 3.
By Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39
Somo hili ni kipande tu cha somo, Endapo utahitaji masomo yanayohusu Tendo la ndoa kwa wanandoa tu, wasiliana nasi uweze kupata masomo haya na uboreshe na kuimarisha ndoa yako.
Kila ndoa, inapitia ngazi hizi za mawasiliano. Tafakari, Jichunguze mume/mke mpo katika ngazi ipi ya mawasiliano? Na ufanye nini uweze kukaa katika ngazi bora ya mawasiliano katika ndoa yako?
Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39
Sio kila mtu unayehusiana naye ni mtu sahihi wa kukufaa katika mahusiano. Wengine ni feki. Tafakari na chunguza kwa umakini na usahihi.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor & Counseling Psychologist +255 713 18 39 39
Vijana wengi leo hawafanikiwi kwa sababu mikono yao ni mifupi. Vijana hawatoi ndio mana baraka hazifunuliwi kwao. Kama hautoi ni Vigumu sana kufanikiwa.
By Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39
Watu wengi sana wanashindwa kufanikiwa kwa sababu ya Changamoto, usiogope changamoto. Penye changamoto ndipo penye mafanikio.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39
Kuna wanaume wamebarikiwa kuwa na wake wazuri lkn kwa bahati mbaya hawawatunzi wake zao.
Hii ni tahadhari kwa wale wanaume wasiowatunza wake zao na kuwaacha wakichakaa.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor & Counseling Psychologist #WCC +255 713 18 39 39
Ukiona unachukia/Haupendi KUTOA ZAKA NA SADAKA basi jua kuwa una tatizo kubwa sana la KIROHO.
By. Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39
Siku ya leo amezikwa Mchungaji Peter Mitimingi nyumbani kwake Kawe Jijini Dar Es Salaam. Marehemu ameacha mke na watoto wa nne.
FAHAMU JINSI YA KUMRUHUSU MUNGU KUFANYA JAMBO JIPYA KATIKA MWAKA HUU WA 2020, SASA AMBATANA NA MCH & MWL DR PETER MITIMINGI ANAPOKUONGOZA KWENYE MAOMBI.
Watu wengi sana wanatafuta kuombewa, Sabuni wamepewa, Mafuta wamepewa lakini hawajafanikiwa na magonjwa hayajatoka.
Je? Kuna siri gani iliyomo ndani yake.
Fungu la Kumi = Zaka ni Sehemu ya kumi ya mapato upatayo.
By Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39
Facebook: https://www.facebook.com/EARadio/
Twitter: https://twitter.com/earadiofm
Subscribes: https://www.youtube.com/channe....l/UClYL5SSefPhe-FCxF
MAENEO YA MSINGI YA KUZINGATIA KABLA HUJAINGIA KWENYE NDOA
Ukipata pesa wekeza kwanza inayobaki kula. Masikini akipata pesa anakula kwanza anawekeza inayobaki.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist #BLCC +255 713 18 39 39
MAONO kabla kuzaliwa ni lazima upitie kipindi cha Uchungu na ugumu. Watu watakupinga na kukukejeri. Wakati mwingine wanaweza wakawa ni watu wa karibu sana. Usiogope Piga hatua na songa mbele. MUNGU yupo pamoja nawe.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist +255 713 18 39 39
Kuaminiana na kuheshimiana ni Moja ya msingi unaoboresha ndoa na kufanya idumu kwa muda mrefu.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor & Counseling Psychologist #WCC +255 713 18 39 39
Aina kuu 3 za Vita ya mwanadamu.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor & Counseling Psychplogist #WCC +255 713 18 39 39
Kwa wanandoa Tu
Wanawake wengi sana walio kwenye ndoa, Mahitaji yao Muhimu wanajigharamikia wenyewe. Jukumu kubwa alilopewa mwanaume ni Kutunza Familia (Mke). Katika kitabu cha 1 Wafalme 2. B. Maandiko yanamuhasa mwanaume kuhusu kutunza familia. "Basi uwe hodari ujionyeshe kuwa Mwanamume". Usipomtunza mkeo nani atakutunzia? Challenge.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Counseling Psychologists +255 713 18 39 39
Mwanamke anahitaji mume atakayemuonesha kumjali kwa kumuonesha security na kumdefend!.
Mwanamke ana kiu ya kuoneshwa upendo kutoka kwa mume wake.
Je wataka kufahamu kiu aliyonayo mwanamke?
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor & Counseling Psychologist #WCC +255 713 18 39 39
Je, Ushawahi jiuliza kwa nini wanaume wengi! Wanachepuka? Kwa nini wanaume wengine huchelewa kurudi nyumbani usiku? TAFITI Za saikolojia zinaonesha kwamba - Mwanaume hapendi/Huchukizwa na mwanamke mwenye kelele nyingi.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39
Usinunue kitu ambacho kipo nje ya mipango yako, ili ufanikiwe kiuchumi unapaswa kuweka mipango yako ya matumizi. Watu wengi waliofanikiwa kiuchumi walijinyima na kuwekeza zaidi.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist #BLCC +255 713 18 39 39
Walimu wengi wamekuwa wakiwafundisha vijana kwamba wanapoangalia mchumba sahihi wa kuoana naye wazingatie kigezo kimoja tu ndani ya moyo(Rohoni). Lkn ushauri ni kwamba unapotafuta mchumba angalia vigezo vyote unavyoviitaji rohoni na mwilini. Wengine waliangalia kwa vigezo vya maumbo ya mabinti, mwishowe wakaishia kwenye majuto.
Mchungaji na Mwalimu MITIMINGI p. VHM 0713183939
SOMO: MIPANGO INAYOLETA MAFANIKIO
Mch na Mwl. Dr Peter Mitimingi Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist #BLCCC +255 713 18 39 39
Ukitaka kudumu katika ndoa usimfokee mmeo hata kama amekosea. Tafuta namna nzuri ya kumuelezea tatizo lake.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39
MARAFIKI WA KUWACHINJIA BAHARINI 2020 - SUMU YA MARAFIKI WABAYA -
Ukiona mtu anakuonea wivu, ujue anatarajia kukuondoa kwenye uso wa dunia, usiwepo kabisa. Mtu akikuonea wivu yupo tayari uangamie ili roho yake iwe salama. Kama una kipaji na haupo vizuri na Mungu utangamia.
SOMO: KIPAJI NA MAHUSIANO
By Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39
MITIMINGI # 182 TAMAA YA MWANAUME IPO KWENYE MACHO - NI AIBU KWA MWANAMKE KUWA MCHAFU MANA HUTAVUTIA
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. +255 713 18 39 39
Mwanaume anamuhitaji mwanamke mpole na mnyenyekevu
Mwanaume anahitaji tendo la ndoa mara kwa mara. Kwake ni kama ugali. Alifanya jana. Leo na kesho atataka
MAZISHI ya MCHUNGAJI MITIMINGI NYUMBANI KWAKE MBEZI DSM
Mwili wa mchungaji Peter Mitimingi, wa Kanisa la Ghala la Chakula cha Uzima (Warehouse Christian Centre-WCC) umezikwa leo nyumbani kwake Mbezi jijini Dar.
Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
iOS:https://apple.co/38HjiCx
VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo...
JE, NA WEWE UNA HABARI?
WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
OUR PLAYLIST:
HABARI MPYA DAILY: http:shorturl.at/lNOZ2
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Usiku wa Dr. Ester akifundwa na kungwi. Mchungaji na Mwalimu Mitimingi P.
Kwa sababu ya maadili Somo hili ni kipande kifupi kilichokatwa, endapo utahitaji somo zima kwa wanandoa au wanaotarajia kuingia kwenye ndoa, wasiliana nasi sasa kwa 0713183939
Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC $
Counseling Psychologist #BLCCC +255 713 18 39 39
KAZI 12 ALIZOPEWA MWANAMKE KATIKA JAMII, FAMILIA NA KANISA
Wamama wengi wa leo wanatia Haibu kwa Jamii, Shule ya kwanza aliyopewa mwanamke ni kujifundisha yeye mwenyewe. Je wewe ni mtu wa mfano kwa mabinti? vijana wa kiume au jamii? Mavazi ya wamama leo hayana Shuhuda. ( SOMO:- THAMANI YA MWANAMKE)
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. +255 713 18 39 39 Counseling Psychologist
Subscribe hapa : https://bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : https://bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : https://bit.ly/2XbYro5
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz
Mchungaji wa Kanisa la Warehouse Christian Center (WCC), Peter Mitimingi alifariki dunia Mei 03, 2020 #BMGHabari
#mitimingi #ghala_la_chakula