Latest videos

proshabo
6 Views · 1 year ago

KUJISOGEZA KARIBU na Jinsia tofauti ni moja ya sababu kuu ya Anguko kwa vijana. Je ni kivipi vijana hao wanaweza kuzini kwa kuwa karibu?

Mch na Mwl. DR. MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39

proshabo
2 Views · 1 year ago

VICHOCHEO VINAVYOCHANGIA USALITI KATIKA NDOA

Miongoni mwa wanandoa wanafikiri kuwa kufanya tendo la ndoa mara chache ndio inaongeza uimara wa ndoa! No Msingi na uimara wa ndoa unapimwa kupitia TENDO LA NDOA.

Tendo la ndoa ni Kipimo cha mahusiano yako na upendo baina ya wanandoa; wanandoa walio wengi wakati mahusiano yao ni mapya hufanya tendo la ndoa mara kwa mara.

Kama wanandoa hawajafanya Tendo la ndoa kwa muda wa mwezi mmoja, ni alama ya wazi kuwa Hawaelewani, ndoa yao imeingia misukosuko.

Utafiti wa kisaikolojia unaonesha kwamba ili akili ya mwanaume ikae sawa anahitaji kula tendo la ndoa lililo na utoshelevu.

NB: KUFANYA RENDO LA NDOA MARA KWA MARA NI ULINZI MKUBWA SANA HASA KWA MWANAUME

Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist #BLCCC +255 713 18 39 39

proshabo
3 Views · 1 year ago

Please subscribe now on Our YouTube channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time.

#middlesimba
#WeAreEverywhere
#mitomimgi

proshabo
3 Views · 1 year ago

Ndoa nyingi za leo zimekuwa zikibomolewa na wanandoa wenyewe. Wake wamekuwa wakiwatenda waume zao, kuharibu hisia zao. Waume pia wamekuwa wakikanyaga na kuvuruga hisia za wake zao. KTK SOMO HILI NIMEZUNGUMZIA MAARIFA YA KUIJENGA NNA KUIMARISHA NDOA YAKO.
Mch na Mwl Dr. MITIMINGI p. +255 713 18 39 39.

proshabo
2 Views · 1 year ago

Watu wengi sana leo wamekata tamaa:
 Wengine wamekata tamaa ya kutoendelea na wokovu.
 Wengine wamekata tamaa ya kuolewa tena na kuamua kurudi
duniani.
 Wengine wametafuta watoto muda mrefu wamekata tama na
kuamua kwenda kwa waganga wa kienyeji.
 Wengine wamekata tamaa ya kumsubiria Mungu na kuamua
kujaribu kwa waganga wa kienyeji.
 Wengine wamekata tama na kuamua kufanya matendo ya ajabu na
hata kujiua.

Mch na Mwl. Dr. PETER MITIMINGI. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist #BLCCC +255 713 18 39 39

proshabo
2 Views · 1 year ago

Shetani amepenyeza tatizo ndani ya kanisa.

proshabo
2 Views · 1 year ago

Vyeo na Maneno haviwezi kukufanikisha kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine ya mafanikio.

Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39

proshabo
2 Views · 1 year ago

Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe.

proshabo
2 Views · 1 year ago

proshabo
2 Views · 1 year ago

VIKWAZO HALISI VINAVYOWATAFUNA WATU WASIFIKIE MALENGO YAO

Je unatambua

proshabo
2 Views · 1 year ago

Viongozi wengi wamekosa maadili katika uongozi wao - Katika kitabu cha KANUNI ZA KUKUZA NA KUINUA KIWANGO CHAKO Nimeeleza baadhi ya Maadili yanayowarudisha nyuma kimaendeleo viongozi wetu.
Mch na Mwl Dr. PETER MITIMINGI
Kwa mawasiliano wasiliana nasi kwa + 255 713 18 39 39.
VHM.

proshabo
6 Views · 1 year ago

WADADA FAHAMU SAIKOLOJIA YA MWANAUME KATIKA MAHUSIANO - HAKUNA MWANAUME ANAYETAKA KUISHI NA MWANAMKE MWENYE KELELE NYINGI

proshabo
2 Views · 1 year ago

Bonyeza "SUBSCRIBE" ili uwe wa kwanza kupata habari mpya, nyimbo na video mpya za muziki wa Injili, mahojiano, Elimu ya jamii, matamasha ya muziki wa Injili, mahubiri, makongamano na mikutano mbalimbali ya Injili kila siku kutoka ndani na nje ya Tanzania kupitia channel yako hii pendwa ya GospoTv.

Pia unaweza kupata updates zetu kupitia:

* Tovuti/Website: http://www.gospomedia.com
* Facebook: https://www.facebook.com/gospomedia/
* Instagram: https://www.instagram.com/gospomedia/
* Twitter: https://twitter.com/GospoMedia
* Google+: https://plus.google.com/u/0/102334234306988694581

Kwa huduma ya habari na promotion ya matangazo mbalimbali ikiwemo events, nyimbo, video na matngazo ya kibiashara wasiliana nasi kupitia simu: +255755038159, +255658293696, +255 679 433 323 Email: gospomedia@gmail.com

Wote Mnakaribishwa!

proshabo
2 Views · 1 year ago

Leo hii wanandoa hawajivunii ndoa zao bali wanavumilia ndoa zao.

Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist +255 713 18 39 39

proshabo
1 Views · 1 year ago

CHANZO CHA KIFO CHA MCHUNGAJI MITIMINGI WA KANISA LA WCC
https://youtu.be/OtwRdUy32v8


Stay connected na Kaskazinimix Mahala pekee unapopata Habari za Uhakika Usisepee
Kaskazinimix Application Download link:
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://1drv.ms/u/s!AqUCvbFOwkgqhUjXgFtehfVRyV_E
Whatsapp:https://chat.whatsapp.com/3NkS7dMpc2B8SRLWsCHIw2
Twitter:https://twitter.com/kaskazinimix
Facebook:https://web.facebook.com/kaskazinimix
Instagram:https://www.instagram.com/kaskazinimix

proshabo
2 Views · 1 year ago

Dalili mojawapo ya kubaini mme wa kukufaa katika mahusiano! Ni kuchunguza juu ya kudhibiti hisia zake, Je anaweza kudhibiti hisia zake? Wapo ambao kila mwanamke akipita, wanaenda nae! Mahusiano ya ndoa yanahitaji kutulia. Wadada Chunguza na kuwa makini unapotafuta mume sahihi wa kukufaa kwenye KIGEZO MOJAWAPO CHA KUCHUNGUZA NI JUU YA HISIA

Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. Counselig Psychologist +255 713 18 39 39

proshabo
2 Views · 1 year ago

Watu wengi sana wameshindwa kufanikiwa kwa sababu hawapangi matumizi ya fedha zao, wakidai kwamba wakianza kufanikiwa ndipo wataanza kupanga Budget. Kanuni ya kufanikiwa kiuchumi inasema JIFUNZE KUPANGA MAYUMIZI YA FEDHA ZAKO KWA KIPATO KILE KILE ULICHONACHO NA UTAFANIKIWA.

SOMO: MAONO YANAYOTEMBEA

By. Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39

proshabo
3 Views · 1 year ago

"Upendo wa Kweli Unajiendesha Una Mafuta Ndani Yake, Ukiona Unatumia Nguvu Kuendesha Mapenzi Ujue Huyo Uliyenaye Hakupendi, Na Mtu Asije Akakudanganya Eti Kwamba Mimi Mchumba Wangu Ananipenda Ila Tu Yuko Busy Hakuna U Busy Kwenye Mapenzi" Marehemu Mwalimu na Mchungaji Peter Mitimingi.

proshabo
3 Views · 1 year ago

BREAKING: MCHUNGAJI MITIMINGI AFARIKI DUNIA, CHANZO BADO HAKIJAJULIKANA...

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni Mchungaji wa Kanisa la Warehouse Christian Center, Peter Mitimingi, amefariki Dunia, bado chanzo cha kifo chake hakijajulikana...
Na msomaji ni Felista Massae
Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
iOS:https://apple.co/38HjiCx

UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE

(+255 784 888982)

(+255 676 229628)

Email: globaltvbest@gmail.com
abbymrisho@gmail.com

HABARI MPYA DAILY:
http://bit.ly/habarimpya

HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua

GLOBAL RADIO TV:
http://bit.ly/255globalradio

EXCLUSIVE INTERVIEW:
http://bit.ly/exclusive_interviews

Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
http://bit.ly/exclusive_interviews

proshabo
3 Views · 1 year ago

KOSA KUBWA WAFANYALO VIJANA KABLA YA KUJIINGIZA KWENYE MAHUSIANO

proshabo
4 Views · 1 year ago

Our God is God of Balance - Mara nyingi vijana wanakumbwa na changamoto pale wanapohitaji kuoa/Kuolewa. Wanasukumwa na baadhi ya vitu tu, vya Rohoni, na kuacha vya mwilini.
Ushauri ni kwamba vijana mnapotaka kuoa/kuolewa unatakiwa ubalance mwili na roho, kwa maana hauendi kuishi na roho mtakatifu bali unaishi na mwili halisi.

Mwisho wa Somo hili - Mwanzo wa somo lingine, ikiwa una shida ya Ushauri wa mahusiano ya wanandoa, wachumba, biashara, N.K. wasiliana nami kwa ... number +255 713 18 39 39
Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. Counseling Psychologist

proshabo
3 Views · 1 year ago

Tunapaswa kuzijua haiba za watu tunaohusiana ili tuweze kuendana nao.

COUNSELING COURSE- OCT - TO NOV - 2017

proshabo
1 Views · 1 year ago

Pale kijana anapoanzisha mahusiano nje ya utaratibu wa Mungu kuna gharama za kulipa. Je' gharama izo ni zipi?

SOMO: GHARAMA ZA MAHUSIANO NJE YA UTARATIBU WA MUNGU

Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39

proshabo
3 Views · 1 year ago

Unapofanya safari yoyote ile inahitaji maandalizi, kama utatumia usafiri private itahitaji ukague gari kama tyre zitakufikisha, uchek kama vibari vipo sawa, NK. Mahusiano yetu pia yanafananishwa na safari, ili uweze kufika destination inahitaji maandalizi mazuri, usipofanya maandalizi utakumbana na changamoto ambazo ungeweza kuzitatua kabla ya kuanza mahusiano hayo. Hizi ni CHANGAMOTO ZA MAHUSIANO YA VIJANA YASIYO NA MAANDALIZI

Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39

proshabo
2 Views · 1 year ago

Hiki Ndio Chanzo Cha Kifo Cha Mchungaji PETER MITIMINGI

proshabo
2 Views · 1 year ago

Kuna wakat MUNGU huyaruhusu magumu kupima Imani yako!

proshabo
2 Views · 1 year ago

MOJA ya kitu ambacho mwanamke anakiitaji kutoka kwa Mume NI KUHESHIMIWA, Wanaume wengi hawawaheshimu wake zao. Wake zao wanapendeza lkn mwanaume hajawahi kumsifia mke wake. ILI KULETA AMANI NA FURAHA KATIKA NDOA MWANAUME INAHITAJI KUMUHESHIMU MKEO.

Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. +255 713 18 39 39 Counseling Psychologist

proshabo
3 Views · 1 year ago

Baadhi ya sifa za ndani za kuangalia kwa kijana anayetaka kuoa/kuolewa. Je rohoni aweje? Je, nguvu ya ushuhuda kwa kijana aliyeokoka inamsaidiaje pae anapokuwa amebanwa?

proshabo
3 Views · 1 year ago

Jifunze kuweka Akiba hata kama ni kiasi kidogo tu, utafanikiwa.

proshabo
12 Views · 1 year ago

Asilimia kubwa ya wanaume wametekwa na wanawake makahaba ambao ni wachafu, hawafai, moja ya sababu ni hii hapa.

Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist +255 713 18 39 39

proshabo
3 Views · 1 year ago

Kwa wanandoa Tu. Fahamu vyakula vinavyochangia kuongeza nguvu za upambanaji katika ndoa.

Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor & Counseling Psychologist #WCC +255 713 18 39 39

proshabo
2 Views · 1 year ago

Watu wengi sana leo wameokolewa lkn bado wanatamani maisha ya watu ambaao bado hawajaokolewa. Wanakuja ndio kanisani, lkn maisha yao bado wanategemea nje. Je wafahamu madhara ya mkristo yanayompata kwa kutoka nje?

Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39

proshabo
2 Views · 1 year ago

Ili kuwa bora kiuchumi yakupasa kuwa na vyanzo vya fedha angalau kuanzaia vi3 kama ni biashara angalau 3. Kama unategemea chanzo kimoja cha mapato kuna siku unaweza ukakwama na ukameza biashara yako yote.

Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist #BLCCC +255 713 18 39 39

proshabo
3 Views · 1 year ago

Kuishi bila malengo ni sawa na kuendesha gari bila uskani.




Showing 68 out of 69