BREAKING: TRA kuanza kumchunguza Kakobe, “nina hela kuliko Serikali”
0
0
2 צפיות·
31 אוֹקְטוֹבֶּר 2023
"Nina hela kuliko serikali" ni kauli aliyoinukuu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Edward Kichere kutoka kwa Askofu Kakobe. Kauli hiyo imeifanya TRA kuanzisha uchunguzi dhidi yake.
להראות יותר
0 הערות
sort מיין לפי