Bible Teachings

proshabo
2 Views · 1 year ago

Endelea kufuatilia mafundisho mubashara kutoka kanisa la T.A.G City Light Temple - CLT lililopo Goba Matosa. FAIDA YA UTAKATIFU.
#CLT #Jumapili #NenoLaMungu #TanzaniaAssembliesOfGod #TAG
Pia unaweza kufuatilia mafundisho yetu kupitia facebook kwa jina la CITY LIGHT TEPLE-CLT

proshabo
3 Views · 1 year ago

DHAMIRA YETU TOGOLAY24 TV
• Kutoa Habari za Injili, Historia, Burudani y Muziki, Afya & Mafundisho ya Neno la Mungu.
• Kuwa kielelezo cha Imani na Maadili ya Kikristo
• Kukidhi matarajio na mahitaji ya waumini katika Mungu na Mwanawe Yesu Kristo kama sehemu kuu ya maisha yao.
• Kutoa Huduma ya Kiroho kwa Taifa
• Kutoa utayarishaji na vipindi vya hali ya juu vya kuigwa na marafiki, washirika na wenzao na wengine wote watakaotazama Televisheni yetu.
• Kuwa Kiwango cha uhamishaji wa maarifa kwa watazamaji wetu kuhusu mambo yanayowavutia maishani.

proshabo
3 Views · 1 year ago

Ikiwa una swali lolote tafadhali wasiliana nasi kwa
Nambari: +61 434 066 846
Barua pepe: horemowaustralia@gmail.com
Bwana Mungu akubariki. Shalom.

proshabo
2 Views · 1 year ago

Mirriam Kimeleko - Njia Ya Utakatifu (Official Video)

proshabo
2 Views · 1 year ago

Biblia inasema hvi juu ya utakaso ktk kitabu cha yohana17;17 Uwatakase kwa ile kweli,neno lako ndiyo kweli.
..
.
.
.
.
#Utakaso#kweli#wasafimedia

proshabo
4 Views · 1 year ago

#HOUSEOFVICTORYCHURCH #PASTORMYAMBA #LIVEHVCSERVICE
This is the Official YouTube Channel for Pastor Emmanuel Myamba. Is a Pastor of the HOUSE OF VICTORY CHURCH , This church is Headquartered in Kigamboni-Mbutu (Dar es salaam) Tanzania
-----------------------
For Offerings / Tithe and Seeds please send through Western Union / Money Gram / RIA and M-PESA: NETWORK: Vodacom, NUMBER: +255 744 982 517, NAME: Emmanuel Myamba, COUNTRY: Tanzania
-----------------------
Follow Us:
Instagram: https://www.instagram.com/pastormyamba/
Facebook: https://www.facebook.com/Pasto....r-Myamba-12973112043
Youtube: https://www.youtube.com/c/PastorMyamba
Call: +255 744 982 517,+255 713 842 123,+255 686 953 030

proshabo
6 Views · 1 year ago

MICHANGO KATIKA KANISA AITAJIRISHI POLE!!!!!!!!! 🤣Yeremia 7:22:23@anointed115 @apostlerobertmwakipesile693 @HaleluyaTv @aranaizo_og @kingkizesettv4714 @SunsetTz @amaizingtv741 USITOE ILI UBARIKIWE UPATE UTAJIRI NO!!! TOA KWA SABABU UPENDO USITIRI WINGI WA DHAMBI NA MAHALI PENYE UPENDO NDIO MUNGU YUPO (HAIKUBALIKI 🚫 kuwe kuna mchungaji anachangiwa kununua gari alafu mwingine anaombewa tu kuwa afanikiwe katika kazi zake HAPANA TUSHITUKE HAPA NDIPO TULIPOFANYA WENGI KUTAMANI KUWA WACHUNGAJI BILA WITO WA KIMUNGU. 😢😢 HII INAITWA *MAPINDUZI YA INJILI TANZANIA* INALETWA KWENU NA MWANA MAONO JUSTINE P SEMBA
BARIKIWA SANA USISAHAU KUSHARE KU COMMENT ILI NA WENGINE WAPATE JAMBO ZURI ZAIDI YA KUWA akuna kitu tunaweza mtolea MUNGU ALIYE HAI ZAIDI YA KUAMUA KUWA WATAKATIFU NA KUFATA YALE ANAYOYATAKA MUNGU TUMWAMINI MWANA WAKE YESU KRISTO ILI TUWE NA UZIMA.
CALL ME 0765015285
+WHATSAAP 0785085898

proshabo
3 Views · 1 year ago

Sherehe ya Watakatifu Wote: Wito Wa Utakatifu Wa Maisha!

Mama Kanisa kila mwaka ifikapo tarehe Mosi, Novemba anaadhimisha Sherehe ya Watakatifu Wote, wito na mwaliko kwa watu wote kuchuchumilia ukamilifu wa maisha kama Baba yao wa mbinguni alivyo mkamilifu, kwa kujivika moyo wa rehema, utu wema, unyenyekevu, upole na uvumilivu, daima wakijitahidi kumwilisha Matunda ya Roho Mtakatifu katika uhalisia wa maisha yao.

Na Padre William Bahitwa, - Vatican.
Utangulizi: Karibu ndugu msikilizaji na msomaji wa Vatican News katika kipindi hiki cha Tafakari ya Neno la Mungu. Leo tunaadhimisha sherehe ya watakatifu wote. Baba Mtakatifu Francisko katika Wosia wake wa Kitume “Gaudete et exsultate” yaani “Furahini na kushangilia, wito wa utakatifu katika ulimwengu mamboleo” (Mt. 5:12) anasema kwamba, Kristo Yesu anawaalika wote wanaoteseka au kudhulumiwa kwa ajili yake, kufurahi na kushangilia, kwani yeye ni chemchemi ya maisha na furaha ya kweli. Anataka waja wake kuwa kweli ni watakatifu, mwaliko na changamoto inayojionesha kutoka katika sehemu mbali mbali za Maandiko Matakatifu. Baba Mtakatifu anasema, lengo la wosia huu ni mwaliko wa kuwa watakatifu katika ulimwengu mamboleo; kwa kutambua vizingiti, changamoto na fursa ambazo zinaweza kutumiwa na waamini kufikia utakatifu wa maisha. Kristo Yesu anawaalika waja wake ili wawe watakatifu, watu wasiokuwa na hatia mbele zake katika upendo. (Rej. Ef. 1:4). Wosia huu wa kitume umegawanyika katika sura kuu tano: Sura ya kwanza ni Wito wa utakatifu; Sura ya Pili ni Adui wa utakatifu; Sura ya tatu: Mwanga katika maisha ya Mwalimu, Sura ya nne: Alama za Utakatifu wa maisha katika ulimwengu mamboleo na Sura ya tano: Mapambano ya maisha ya kiroho; kukesha na kufanya mang’amuzi!
Somo la kwanza (Ufu 7:2-4, 9-14) linatoka katika Kitabu cha Ufunuo. Linaleta kwetu maono ambayo Yohane mwenyewe aliyapata alipokuwa katika kisiwa cha Patmo.  Kati ya yale aliyoyaona kuhusu ulimwengu ujao, aliona umati mkubwa wa watu wasiohesabika kutoka katika kila taifa, kabila na lugha. Wote wamesimama mbele ya kiti cha mwanakondoo wakiwa na mavazi meupe wakishika matawi mikononi mwao. Akaendelea kuona na kusikia kuwa watu hao ni wale waliotoka katika dhiki ile iliyo kuu na ni hao ambao wameosha mavazi yao katika damu ya huyo mwanakondoo. Tangu mwanzo Kanisa limeona maono hayo kuwa ni maono ya watakatifu huko mbinguni. Ni wa idadi isiyohesabika kwani ni wengi na kutoka kila sehemu. Mwanakondoo ndiyo alama ya Kristo mshinda, kama yule mwanakondoo wa Pasaka ya wayahudi, yeye ndiye aliyewakomboa hao umati kwa damu yake Msalabani. Nao wameupokea utakaso wake, wakawa tayari kuyaosha mavazi yao, yaani kutakaswa maisha yao yote kwa fumbo la Kristo la Pasaka. Ni somo linalotupa matumaini makubwa ya kuufikia utakatifu na ni somo linatoa hapo hapo mwaliko wa kuandamana na mwanakondoo, yaani Kristo katika maisha yetu yote.
Somo la pili (1Yn 3: 1-3) ni kutoka katika Waraka wa kwanza wa Mtume Yohane kwa watu wote. Mtume huyu ambaye sehemu kubwa sana ya mafundisho yake ni upendo wa kimungu, leo anatufundisha kuwa ni pendo hilo alilotujalia Mungu linalotufanya sisi tuwe watoto wake. Kwa pendo lake Mungu tunafanyika watoto wa Mungu tukingali hapa duniani. Hadhi hii lakini huufikia ukamilifu wake huko mbinguni ambapo hatutakuwa tu watoto wake bali tutamwona jinsi alivyo na kufanana naye milele yote. Wanaomwona Mungu jinsi alivyo na wanaofanana naye ni watakatifu wake. Kumbe Yohane naye anatukumbusha kuwa tunayo tayari ndani yetu amana ya utakatifu kwa pendo ambalo Mungu anatupenda sisi. Na kama ulivyo mwaliko wa kudumu wa mtume Yohane, tukae katika pendo la Mungu ili tuufike ukamilifu wa kuwa waana wake, yaani kumuona Yeye kama alivyo na kufanana naye milele yote.
Injili (Mt 5:1-12A) somo la Injili ni kutoka kwa Mwinjili Mathayo na ni maarufu kama Injili ya Heri nane. Heri hizi Yesu anazitoa kama katiba ya ufuasi au mwongozo wa tunu za maisha ambazo kila mfuasi wake anapaswa kuwa nazo ili astahilishwe kuishiriki ile heri ya umilele, yaani utakatifu. Mwinjili Mathayo anapozitaja na kuzifundisha heri hizi nane, anaweka msisitizo wa heri kama fadhila za maisha ya kiroho. Hii ni tofauti kidogo na mwinjili Luka anayezifundisha kama fadhila za maisha ya kijamii. Utofauti huu sio upinzani. Kwa mwinjili Mathayo, kuziishi heri ni kuyaishi maisha yaliyo na kipimo cha juu kidogo kuliko yale maisha ya kawaida ya kijamii. Ni utofauti huo unaosisitizwa kama fadhila za kiroho. Mwisho, ni muhimu kutambua kuwa Yesu anapozitaja na kuzifundisha heri hizi, anajitambulisha Yeye mwenyewe kuwa ndiye mfano wa kuziishi heri hizo. Ndiye hasa aliye masikini wa roho, ndiye aliyejua huzuni, ndiye aliye mpole, ndiye aliye na njaa na kiu ya haki, ndiye mwenye huruma, ndiye msafi wa moyo, ndiye mpatanishi na ndiye mwenye kuudhiwa kwa ajili ya haki. Kwa jinsi hii anaonesha kuwa maisha ya heri sio nadharia. Yanawezekana. Na ni Yeye aliyetoa mfano wa kuyaishi. Hivyo anatualika nasi tuyaishi ili tupate kustahilishwa kuishiriki ile heri ya milele.

proshabo
2 Views · 1 year ago

Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu (The cleansing river is the Blood of Jesus)
Bwana anao uwezo kunipa wokovu (The Lord has the authority to grant me salvation)
Viumbe vipya naona, Damu ina nguvu (I see new beings, the Blood is powerful)
Imeharibu uovu, uliyo dhulumu (It has destroyed the evil that harm)

Refrain:
Kijito cha utakaso (The cleansing river)
Nizame kuoshwa humo (That I may be immersed and cleansed there)
Namsifu Bwana kwa hiyo (I praise the Lord because)
Nimepata utakaso (I have received the cleansing) (Repeat)

Naondoka kutembea, nuruni mwa mbingu (I have left to walk, under the heavenly lights)
Na moyo safi kabisa kumpendeza Mungu (With a clean heart that pleases God)
Ni neema ya ajabu kupakwa na damu (What a great Grace to be anointed by the blood)
Na Bwana Yesu kujua Yesu wa msalaba (Of The Lord, and to know Jesus of the Cross!)

proshabo
2 Views · 1 year ago

Mchungaji Jemima Rugongo ni mchungaji anaechunga kanisa la Fpct lililopo wilaya ya Bunda mkoa wa Mara Juni 202 2021 alituhudumia kwa Neno la Mungu ujumbe ukiwa 'NJIA YA UTAKASO' karibu kusikia mahubiri yake hapa.

KANISA LIPO MANISPAA YA KAHAMA KATIKA MKOA WA SHINYANGA KATA YA NYIHOGO ENEO LINALOITWA MNAZI MMOJA AU WAWEZA KUTUPIGIA SIMU:- +255 757929669 .
-----------------------------------------------------------------
- WEBSITE👉http://shalomtemplelive.org/​​​​​​​​​...
----------------------------------------------------------------
- FACEBOOK👉https://bit.ly/3c1guBA​​​​​​​​​​​​​​​...
------------------------------------------------------------
- INSTAGRAM👉https://bit.ly/2VarfKJ​​​​​​​​​​​​​​​...
----------------------------------------------------------
- TWITTER👉https://bit.ly/3bXwUur​​​​​​​​​​​​​​​...
--------------------------------------------------------
- WHATSAPP👉+255 757 92 96 69

proshabo
0 Views · 1 year ago

APOSTLE CASTORY MASOLO

proshabo
3 Views · 1 year ago

This song say that the mighty Things that God we have witnessed You doing even in the past and in the Scriptures, Lord do them again in our days, This is indeed a powerful Worship song, be blessed as you listen to it

proshabo
3 Views · 1 year ago

MADHARA YA MTU KUHUBIRIWA "INJILI YA MAFUTA NA MAJI" BADALA YA KUHUBIRIWA "KAZI YA MSALABA" INAZAA WOKOVU USIOKUWEPO, WOKOVU WA KUONGOZWA SALA YA TOBA NA UKARUDI TENA KWENYE MAISHA YALEYALE YA DHAMBI!
OLE WANGU MIMI NISIPOHUBIRI INJILI YA TOBA NA ONDOLEO LA DHAMBI KWA JINA LA YESU (LUKA 24:46-47)

proshabo
4 Views · 1 year ago

Neno la Mwenyezi Mungu | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V Utakatifu wa Mungu II (Sehemu ya Pili)

Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/
Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod&hl=sw
App Store: https://itunes.apple.com/ke/ap....p/the-church-of-almi
CAG Hymns - Nyimbo Mpya za Ufalme App
Google play: http://bit.ly/2WHrvj2
App store: https://apple.co/2ZEE29d

Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org
Wasiliana Nasi: +254-700-427-192

#NenolaMungu#kumjuMungu #nenolaMungu #swahiligospel #Injili #gospel #kenyangospel #tanzaniagospel #ugandagospel #CongoGospel #ZambianGospel #MwenyeziMungu #KanisalaMwenyeziMungu

proshabo
3 Views · 1 year ago

Neno la Mwenyezi Mungu | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V Utakatifu wa Mungu II (Sehemu ya Tatu)

Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/
Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod&hl=sw
App Store: https://itunes.apple.com/ke/ap....p/the-church-of-almi
CAG Hymns - Nyimbo Mpya za Ufalme App
Google play: http://bit.ly/2WHrvj2
App store: https://apple.co/2ZEE29d

Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org
Wasiliana Nasi: +254-700-427-192

#NenolaMungu#kumjuMungu #nenolaMungu #swahiligospel #Injili #gospel #kenyangospel #tanzaniagospel #ugandagospel #CongoGospel #ZambianGospel #MwenyeziMungu #KanisalaMwenyeziMungu

proshabo
1 Views · 1 year ago

Ibada iliyofanyika Katika kanisa La Vuka Yordan Ngaramtoni Arusha Tanzania,Na kuongozwa na Mtumishi wa Mungu Bishop Elibariki Sumbe.

Follow kurasa za Bishop Sumbe,Bofya Link Hapa Chini.

https://facebook.com/BishopElibarikiSumbe

https://instagram.com/BishopElibarikSumbe

Website
https://Vukayordani.Org

LIKE | COMMENT | SHARE.

UBARIKIWE.

#VukaYordaniChurch #NgaramtoniArusha

proshabo
4 Views · 1 year ago

Ili kuifikisha huduma ya neno la Mungu mbali zaidi Tafadhari Subscribe kisha Like, Comment na Share


Tufuate Kwenye Mitandao ya Kijamii:-
Facebook: https://web.facebook.com/TheServantMedia

Mawasiliano:-
THE SERVANT MEDIA,
Parokia ya Chuo kikuu,
P. O. BOX 35027,
Dar es Salaam.


For Bookings
Phone Number +255758949904
+255788865025

proshabo
2 Views · 1 year ago

Nineema ya peke unapoitazama video hii ya Utakatifu kwa Mara ya kwanza na kuendelea, usisahau kudondosha maoni yako hapo chini, Asante director Fecha kuhakikisha ngoma inamalizika ipasavyo, share kwa wengine waone video hii,,,,Whatsaap & call +255 752777721

proshabo
2 Views · 1 year ago

KUHANI SILA YONA MTUI
• HAVEN OF PEACE CHRISTIAN CHURCH⛪
•Karibu kufuatilia Channel Hii Ya KUHANI SILA MTUI ujiungamanishe Na Ibada Za moja kwa moja Kutoka kanisani, Shuhuda, Maombi, Neno la Mungu, Unabii,

JIUNGE NASI KWA KU-SUBSCIBE
Pia Fuatilia Katika Mitandao yetu Ya kujamii
Facebook..............................................
Instagram.................................................
Twitter............................................
TikTok.....................................................
MAWASILIANO NA MAOMBI ZAIDI : +255 715 970 180

proshabo
1 Views · 1 year ago

Nipo hapa kwa ajili ya Kumshuhidia BWANA YESU na KUTAHADHARISHA Watu wa Mungu kuhusu WOKOVU, KUTUNZA UTAKATIFU na Jinsi ya KUTENGENEZA na BWANA YESU. Mara nyingi mimi hushuhudia maeneo ya Dodoma Stand ya Mabasi.

Kwa MAOMBI na Kutuma Sadaka kwa Ajili ya Kazi ya Mungu, tafhadhali tumia: Tigo +255 716 778 693 au Voda +255 768 906 552

Tafadhali SHARE na WENGINE ili Watu wa Mungu WAPONE.

Bwana Yesu Akubariki sana kwa Kusimama nami kuifanya KAZI ya MUNGU. Amina.

proshabo
2 Views · 1 year ago

#maombi#kusali#toba#wokovu
Kwa maana dunia itajazwa maarifa ya utukufu wa BWANA, kama maji yaifunikavyo bahari.
Habakuki 2:14
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
https://linktr.ee/sirizabiblia

Instagram Account
https://www.instagram.com/siri_za_biblia/

SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

proshabo
2 Views · 1 year ago

#SYLASS TV ONLINE WASILIANA NASI KWA +255742692079

proshabo
1 Views · 1 year ago

Filamu za Kikristo | Watu Wanaweza kuingia Katika Ufalme wa Mungu Bila Kukubali Hukumu na Utakaso Wake wa Siku za Mwisho? (Dondoo Teule)

Tafadhali kumbuka: Video zote kwenye idhaa hii zipo ili zitatazamwe bila malipo. Kupakia, kubadilisha, kupotosha, au kudondoa video zozote kutoka katika mtandao wa YouTube wa Kanisa la Mwenyezi Mungu hakukubaliki kwa mtu yeyote au kikundi chochote bila kupata idhini kwanza. Kanisa la Mwenyezi Mungu lina haki ya kufuatilia njia yoyote na njia zote za kisheria inapotukia kwamba kuna ukiukaji wowote wa sheria hizi. Tafadhali wasiliana nasi kabla ili ufanye maombi ya usambazaji kwa umma.

Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/
Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod&hl=sw
App Store: https://itunes.apple.com/ke/ap....p/the-church-of-almi
CAG Hymns - Nyimbo Mpya za Ufalme App
Google play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.GodFootSteps.NewSongsOfTheKingdom&hl=sw&pli=1
App store: https://apps.apple.com/ke/app/id1447653528
Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org

proshabo
6 Views · 1 year ago

proshabo
1 Views · 1 year ago

Ibada Iliyoongozwa na Mch. Mbarikiwa Mwakipesile.
0655436603 au 0769015164

proshabo
2 Views · 1 year ago

MAOMBI YA TOBA by Innocent Morris

Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect

Contact: +255652796450 (WhatsApp)

Instagram Link:
https://www.instagram.com/holyspiritconnect

Facebook Link:
https://www.facebook.com/holyspiritconnect

YouTube Link:
https://www.youtube.com/holyspiritconnect

proshabo
2 Views · 1 year ago

Usionewe na shetani tena. Yesu amechukua dhambi zako. Sogea mbele za Mungu, kwenye kiti cha rehema kwa ujasiri upate neema na rehema. Unajua kwamba Mungu anafurahishwa na mwenye dhambi anayetubu??
Soma Zaburi ya 51 uone mfano wa toba yako.
Usilie tena, usihuzunike sasa, INUKA USHANGILIE UMTUMIKIE MUNGU, Umesamehewa, usitende dhambi tena.

Karibu sana katika chaneli yako nzuri ya Muyo TV. Muyo TV ni chaneli yako ambayo inakupa ulingo wa kuelimika, kuburudika na kuhamasika. Katika chaneli hii pia utapata taarifa za matukio mbalimbali kitaifa na kimataifa. Ili uweze kufaidika na mambo yote hayo usisahau ku-subscribe katika chaneli yetu.

#MuyoTv #BroMussaKisoma #Tanzania

Kwa Mawasiliano :
Contact: +255753469525
Email: muyomedia@gmail.com

proshabo
3 Views · 1 year ago

Unataka kushirikiana nasi kuhubiri injili au kufanya video zenye kurejesha utukufu kwa Mungu tupigie

proshabo
2 Views · 1 year ago

Utakatifu ni nguvu ya MUNGU inayomuwezesha mtu kuacha dhambi.

MTAZAMO WA WANADAMU
*Hakuna mtakatifu duniani
*Maisha ya utakatifu haiwezekani ukiwa duniani

MTAZAMO WA MUNGU
*Duniani wapo watakatifu
Zaburi 16:3
Watakatifu waliopo duniani ndio walio bora,hao ndio niliopendezwa nao.

*Inawezekana kuwa mtakatifu ukiwa hapa hapa duniani.
Ayubu alikuwa mwanadamu kama wewe na mimi.
Ayubu 1:1
Palikuwa na mtu katika nchi ya Usi,jina lake alikuwa akiitwa Ayubu;mtu huyo alikuwa mkamilifu na mwelekevu,ni mmoja aliyemcha Mungu,na kuepukana na uovu.

*Watakatifu wapo duniani.Shetani asikudanganye kwamba hakuna watakatifu hapa duniani.
Hawa ni watakatifu waliokuwa wakiishi duniani kama mimi na wewe.
Mathayo 27:51-52
Na tazama pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu hata chini,nchi ikatetemeka;miamba ikapasuka.
Makaburi yakafunuka ikainuka miili mingi ya watakatifu waliolala.

*Mambo unayopitia siyo sababu ya kumuacha Mungu na kutenda dhambi.
Wapo waliopita pagumu zaidi yako lakini hawakumuacha Mungu.
Wewe umekosa ajira tu kwa miaka miwili unaamua kumuacha Mungu na kuanza kufanya biashara haramu,au unaanza kuiba au kulala na boss ili akupatie kazi!
Ayubu 1:22
Katika mambo hayo yote Ayubu hakufanya dhambi wala hakumwazia Mungu kwa upumbavu.

*Tumeitwa kuwa watakatifu.
Kama Mungu angekuwa anaona utakatifu ni kitu kisichowezekana hapa duniani asingetuita kuwa watakatifu.
1Petro 1:15-16
Bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu,ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote,kwa maana imeandikwa mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.

*Inawezekana kuwa watakatifu/wakamilifu ndiyo maana katuambia tuwe wakamilifu..Mungu hawezi kusema kitu ambacho anajua hakiwezekani.
Mathayo 5:48
Basi ninyi mtakuwa wakamilifu,kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.

*Utakatifu unawezekana humu humu ulimwenguni kwenye kila aina ya uovu.Kama ingekuwa haiwezekani angesema mtakuwa watakatifu kama mimi mkiishafika mbinguni.
1Yohana 4:17b
Kwa kuwa kama yeye alivyo,ndivyo tulivyo na sisi ulimwenguni humu.

**Shetani anatumia mbinu hii ya kuwaaminisha watu ya kwamba haiwezekani na hakuna mtakatifu hapa duniani ili kuwateka wengi.Kwa sababu ukiishasema kwamba haiwezekani,ukiishatia akilini ya kwamba ni kitu kisichowezekana,haitawezekana na hautakuja kuishi maisha matakatifu.

**Ni kweli kwa uwezo wako wewe mwenyewe hauwezi,haiwezekani ila kwa nguvu za Mungu inawezekana.
Yesu ndiye aliyetufanya kuwa watakatifu.Lakini ni jukumu lako kukubali ukweli huu na kuamua kuiishi hii kweli.
Hakuna mtu anayeweza kuishi maisha matakatifu kwa nguvu zake,kwa akili zake,kwa ujanja wake bali ni Yesu ndiye anayetuwezesha kuishi maisha matakatifu.Ukiamua kuiishi hii kweli Mungu anaingilia kati anakusaidia.Lakini ukiitupilia mbali kweli hii hautaweza kamwe.

proshabo
4 Views · 1 year ago

NOVENA YA ROHO MTAKATIFU
SIKU YA TATU
TUNAOMBA KUPATA UTAKATIFU
Ewe Roho Mtakatifu, chanzo na undani wa maisha yetu na unayetutakatifuza, ninaomba bila kuchoka unisaidie kufungua akili yangu ielekee kwenye ukweli. Uuguse moyo wangu na uweze kunitakatifuza, na kuulinda moyo wangu kama ulivyoulinda Moyo wa Mama yetu Maria na mashaidi na Watakatifu wote. Ninayo nia na hamu kubwa ya kupata utakatifu, sio kwaajili yangu bali kwaajili ya utukufu wako wewe Bwana wa mabwana, utukufu katika utatu, usitawi wa kanisa na mfano bora kwa wale waliotangulia kufika kwako. Hakuna njia iliyo nzuri zaidi ya kuwa mitume kweli pasipo kuwa Mtakatifu, kwani bila utakatifu tunaweza kukamilisha kazi kidogo sana. Roho Mtakatifu sikiliza sala yangu na uitimize hamu ya moyo wangu.
Tuombe:
Ewe Roho Mtakatifu, nafsi ya moyo wangu vinakuabudu, niongoze kwa mwanga wako, nipe nguvu, nifariji, nifundishe nipaswayo kufanya, na unipe sheria yako. Naahidi kuyatoa maisha yangu kwaajili ya kutekeleza mpango wako. Mimi ninaomba tu kufahamu matakwa yako.

proshabo
3 Views · 1 year ago

Nipo hapa kwa ajili ya Kumshuhidia BWANA YESU na KUTAHADHARISHA Watu wa Mungu kuhusu WOKOVU, KUTUNZA UTAKATIFU na Jinsi ya KUTENGENEZA na BWANA YESU. Mara nyingi mimi hushuhudia maeneo ya Dodoma Stand ya Mabasi.

Kwa MAOMBI na Kutuma Sadaka kwa Ajili ya Kazi ya Mungu, tafhadhali tumia: Tigo +255 716 778 693 au Voda +255 768 906 552

Tafadhali SHARE na WENGINE ili Watu wa Mungu WAPONE.

Bwana Yesu Akubariki sana kwa Kusimama nami kuifanya KAZI ya MUNGU. Amina.

proshabo
2 Views · 1 year ago

Ibada Iliyoongozwa na Mch. Mbarikiwa Mwakipesile.
0655436603 au 0769015164

proshabo
1 Views · 1 year ago

Ibada Iliyoongozwa na Mch. Mbarikiwa Mwakipesile.
0655436603 au 0769015164

proshabo
5 Views · 1 year ago

Mkutano Huu Unaongozwa Na Bishop Elibariki Sumbe, umeandaliwa na COJ Ministries Ya Dar Es Salaam.

NA UTAENDELEA MPAKA TAREHE 10/01/2021
Follow kurasa za Bishop Sumbe,Bofya Link Hapa

Follow kurasa za Bishop Sumbe,Bofya Link Hapa Chini.

https://facebook.com/BishopElibarikiSumbe

https://instagram.com/BishopElibarikSumbe

Website
https://Vukayordani.Org

LIKE | COMMENT | SHARE.

UBARIKIWE.


#MkuatanoWaInjiliDarEsSalam

proshabo
3 Views · 1 year ago

Ibada Iliyoongozwa na Mch. Mbarikiwa Mwakipesile.
0655436603 au 0769015164

proshabo
1 Views · 1 year ago

kiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao. #1Nyakati 7:14

Furahia ndugu maombi haya ya kinabii kumaliza mwaka 2018.
Karibu funga pamoja nasi kwa kadri utakavyoweza.

Mwongo wa maombi nitautoa kila siku hapa saa kumi na moja na nusu majira ya Afrika Mashariki na Kati
Kama hujawahi ku-subscribe basi nakuomba ufanye hivyo leo.
Ubarikiwe.

Pastor Shagihilu
+255758443873 (Calls, Whatsapp, Imo)

proshabo
4 Views · 1 year ago

Utakatifu wimbo huu unatukumbusha
kuishi maisha matakatifu
ili tumpendeze Mungu
tunamshukuru Mungu alituwezesha
kuimba huu wimbo 2015
katika Album ya MIMI NIMEAMUA
Karibu ubarikiwe na Injili hii.
#media#gospel#songs
#videos
#new songs
#aic buzuruga
#best songs
#best video

proshabo
8 Views · 1 year ago

Ibada Iliyoongozwa na Mch. Mbarikiwa Mwakipesile.
0655436603 au 0769015164

proshabo
1 Views · 1 year ago

"Mtu ye yote akitaka kunifuata, na ajikane mwenyewe, ajitwike msalaba wake kila siku, anifuate. Kwa kuwa mtu atakaye kuiponya nafsi yake ataiangamiza, na mtu atakayeiangamiza nafsi yake kwa ajili yangu ndiye atakayeisalimisha" #LUKA 9:23-24

Ndugu kumtumikia Mungu ni gharama. mojawapo ya eneo ni utakatifu.

proshabo
2 Views · 1 year ago

Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu (The cleansing river is the Blood of Jesus)
Bwana anao uwezo kunipa wokovu (The Lord has the authority to grant me salvation)
Viumbe vipya naona, Damu ina nguvu (I see new beings, the Blood is powerful)
Imeharibu uovu, uliyo dhulumu (It has destroyed the evil that harm)

Refrain:
Kijito cha utakaso (The cleansing river)
Nizame kuoshwa humo (That I may be immersed and cleansed there)
Namsifu Bwana kwa hiyo (I praise the Lord because)
Nimepata utakaso (I have received the cleansing) (Repeat)

Naondoka kutembea, nurudi mwa mbingu (I have left to walk, returning towards the heavens(?))
Na moyo safi kabisa kumpendeza Mungu (With a clean heart that pleases God)
Ni neema ya ajabu kupakwa na damu (What a great Grace to be anointed by the blood)
Na Bwana Yesu kujua Yesu wa msalaba (Of The Lord, and to know Jesus of the Cross!)

(Refrain)




Showing 24 out of 25