Askofu Kakobe alivyoikana Chadema, CCM
0
0
3 Pogledi·
04 Kolovoz 2023
Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe amekanusha juu ya kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa nchini na kusisitiza pia kanisa lake haliungi mkono chama chochote cha siasa.
Prikaži više
0 Komentari
sort Poredaj po